Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

Huo mpango ni lazima ufanyike! Egypt inaleta mashauzi na kupiga hela za bure wakati hawakuutengeneza wao ulitengenezwa na waingereza! Hata hivyo Suez Canal ni nyembamba kiasi cha kutoweza kupishanisha meli mbili kwa wakati mmoja na kina ni kifupi. Mbadala wa Suez Canal ni Ben Gurion canal inapitia pembezoni mwa gaza hivyo HAMAS kwisha habari yake
 
Back
Top Bottom