Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka

Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo

Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;

1. Vitu gan vinaweza kuhifadhika kwa mda mrefu?
2. Na ni vitu gan nnatakiwa kuzingatia ili lengo litimie?
 
Bati, Nondo, Mawe kwenye kiwanja husika, misumari, binding wire, PVC pipes n.k

Ngoja tusubiri wajenzi zaidi kwa maelezo murua.
 
Ongea na mtu wa hardware unalipia cement kdogokdogo, nondo, bati mnaandikishana cement yako anakua anaibadilisha mzigo mpya ukija anauza ule wako anakubadilishia anaweka mpya ili isigande siku ukiwa vzur unaenda kubeba mzigo ukiwa fresh.
 
Sasa kuna Korona. usilipie bidhaa kidogo kidogo, utajuta
 
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka

Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo

Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;

1. Vitu gan vinaweza kuhifadhika kwa mda mrefu?
2. Na ni vitu gan nnatakiwa kuzingatia ili lengo litimie?
Usiweke vitu ndani
Je una ghala kubwa la kuweza kuviweka vyote? Jibu definitely ni hapana
Kuna wizi
Kuna upotevu
Kuna uharibifu
Kuna uchafu
Kuna kuhifadhi wadudu nknk
Ukiweza jenga kwa hatua.. Kila ukipata cash yako unaikimbiza kwenye ujenzi..
Mfano
Hatua ya kwanza andaa kiwanja na ramani (kama tayari unacho)

Hatua ya pili peleka mawe, mchanga na tofali sehemu ya ujenzi (kwa hatua hii ni vema ukajenga kibanda na kumuweka mtu hapo) kibanda kitakuwa pia kama ghala

Hatua ya tatu pandisha msingi kisha mwaga zege kabisa

Hatua ya nne pandisha tofali

Hatua ya tano funga linter (hapa sasa vuta pumzi sasa ujiandae kwa ujenzi[emoji3] maana hatua zifuatazo ni maumivu tupu!)

Hatua ya sita piga kenchi na bati kwa pamoja

Hatua zifuatazo sasa ndio utaona pesa inavyoteketea[emoji1787] hivyo nenda mdogo mdogo usije ukashindwa mpaka kujihudumia

NB: kwa hatua zote hakikisha unapata mafundi wazuri na waaminifu..usije ukalia kilio cha kusaga majino
 
Asilimia kubwa wanajenga kidogo kidogo sio kwa hela ya pamoja. Kuhifadhi vitu ni changamoto,jenga kama wengine unapiga hatua kulingana na pesa inavyoruhusu.
 
Ongea na mtu wa hardware unalipia cement kdogokdogo, nondo, bati mnaandikishana cement yako anakua anaibadilisha mzigo mpya ukija anauza ule wako anakubadilishia anaweka mpya ili isigande siku ukiwa vzur unaenda kubeba mzigo ukiwa fresh.
Watu hawaaminiki saivi maisha magumu
 
Usiweke vitu ndani
Je una ghala kubwa la kuweza kuviweka vyote? Jibu definitely ni hapana
Kuna wizi
Kuna upotevu
Kuna uharibifu
Kuna uchafu
Kuna kuhifadhi wadudu nknk
Ukiweza jenga kwa hatua.. Kila ukipata cash yako unaikimbiza kwenye ujenzi..
Mfano
Hatua ya kwanza andaa kiwanja na ramani (kama tayari unacho)

Hatua ya pili peleka mawe, mchanga na tofali sehemu ya ujenzi (kwa hatua hii ni vema ukajenga kibanda na kumuweka mtu hapo) kibanda kitakuwa pia kama ghala

Hatua ya tatu pandisha msingi kisha mwaga zege kabisa

Hatua ya nne pandisha tofali

Hatua ya tano funga linter (hapa sasa vuta pumzi sasa ujiandae kwa ujenzi[emoji3] maana hatua zifuatazo ni maumivu tupu!)

Hatua ya sita piga kenchi na bati kwa pamoja

Hatua zifuatazo sasa ndio utaona pesa inavyoteketea[emoji1787] hivyo nenda mdogo mdogo usije ukashindwa mpaka kujihudumia

NB: kwa hatua zote hakikisha unapata mafundi wazuri na waaminifu..usije ukalia kilio cha kusaga majino
Ushauri mzuri. Kijana atekeleze kwa umakini.
 
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka

Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo

Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;

1. Vitu gan vinaweza kuhifadhika kwa mda mrefu?
2. Na ni vitu gan nnatakiwa kuzingatia ili lengo litimie?
Hii ni moja ya njia nzuri sana ya utekelezaji wa ujenzi hasa kwa mtu ambaye kipato chake sio kikubwa, na pia kama umepata kiasi cha fedha kwa mkupuo.

Inasaidia sana , wengine huwa wants wanasema unajenga nyumba ikiwa chini, binafsi ilinisaidia sana njia hii.

Ukishapata wazo la ramani ya nyumba yako itakusaidia kujua baadhi ya materials ambazo zitahitajika kufanikisha ujenzi wako.

Baadhi ya materials ambayo unaweza kuanza nayo ni kama Mabati, tofali, kokoto, nondo, mchanga, grill za milango na madirisha , mbao n.k.

Hii itakusaidia sana katika utekelezaji kwa wakati mmoja ukianza utakua unatafuta fedha kwa ajili ya ufundi tu (Labor charges) .hivo itakusaidia kufikia malengo.
 
Au vitoto vinacheza juu ya mchanga siku unaenda huoni mchanga....wote umechanganyika na vumbi
Duh Pacha umekumbuka tulivyokuwa tunachezea mchanga wa watu Hadi wakaanza kuzungushiwa michongoma kila wakimwaga mchanga 😂😂
 
Usiweke vitu ndani
Je una ghala kubwa la kuweza kuviweka vyote? Jibu definitely ni hapana
Kuna wizi
Kuna upotevu
Kuna uharibifu
Kuna uchafu
Kuna kuhifadhi wadudu nknk
Ukiweza jenga kwa hatua.. Kila ukipata cash yako unaikimbiza kwenye ujenzi..
Mfano
Hatua ya kwanza andaa kiwanja na ramani (kama tayari unacho)

Hatua ya pili peleka mawe, mchanga na tofali sehemu ya ujenzi (kwa hatua hii ni vema ukajenga kibanda na kumuweka mtu hapo) kibanda kitakuwa pia kama ghala

Hatua ya tatu pandisha msingi kisha mwaga zege kabisa

Hatua ya nne pandisha tofali

Hatua ya tano funga linter (hapa sasa vuta pumzi sasa ujiandae kwa ujenzi[emoji3] maana hatua zifuatazo ni maumivu tupu!)

Hatua ya sita piga kenchi na bati kwa pamoja

Hatua zifuatazo sasa ndio utaona pesa inavyoteketea[emoji1787] hivyo nenda mdogo mdogo usije ukashindwa mpaka kujihudumia

NB: kwa hatua zote hakikisha unapata mafundi wazuri na waaminifu..usije ukalia kilio cha kusaga majino
mshale21 hizi hapa hatua za kufuata, nimeona unaziulizia mahali
 
Back
Top Bottom