Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

Unaenda hardware kubwa ya kuaminika inanunua bidhaa wanakupa risiti pia hakikisha wanaingiza risiti zako kwenye computer yao kwaajili ya kumbukumbu angalizo usipoteze risiti zako
 
Shida zote za nini tafuta sanduku LA chuma uwe unafungia hela mpaka zigike unazozihitaji.
Bidhaa zinapanda bei. Unaanza kutunza hela bati likiwa linauzwa 20000, ukitaka kuvunja kibubu unakuta bati ni Tsh 28000
 
Back
Top Bottom