BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Bati na nondo uweke kiwanjani? Asubuhi hutakuta hata moja...Bati, Nondo, Mawe kwenye kiwanja husika, misumari, binding wire, PVC pipes n.k
Ngoja tusubiri wajenzi zaidi kwa maelezo murua.
Mkuu mawe ndio yanakuwa kwenye kiwanja husika pamoja na mchanga.Bati na nondo uweke kiwanjani? Asubuhi hutakuta hata moja...
Sahihi kabisa. Cement haiwezi kuhifadhiwa muda mrefu, huwa inagandaBati, Nondo, Mawe kwenye kiwanja husika, misumari, binding wire, PVC pipes n.k
Ngoja tusubiri wajenzi zaidi kwa maelezo murua.
Sasa kuna Korona. usilipie bidhaa kidogo kidogo, utajutaOngea na mtu wa hardware unalipia cement kdogokdogo, nondo, bati mnaandikishana cement yako anakua anaibadilisha mzigo mpya ukija anauza ule wako anakubadilishia anaweka mpya ili isigande siku ukiwa vzur unaenda kubeba mzigo ukiwa fresh.
Usiweke vitu ndaniNdugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka
Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo
Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;
1. Vitu gan vinaweza kuhifadhika kwa mda mrefu?
2. Na ni vitu gan nnatakiwa kuzingatia ili lengo litimie?
Asilimia kubwa wanajenga kidogo kidogo sio kwa hela ya pamoja. Kuhifadhi vitu ni changamoto,jenga kama wengine unapiga hatua kulingana na pesa inavyoruhusu.Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka
Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo
Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;
1. Vitu gan vinaweza kuhifadhika kwa mda mrefu?
2. Na ni vitu gan nnatakiwa kuzingatia ili lengo litimie?
Kuna baadhi ya maeneo ata mchanga wanabebaMkuu mawe ndio yanakuwa kwenye kiwanja husika pamoja na mchanga.
Sasa huko kama hadi mchanga wanabeba itakuaje nondo wakati wa kusimamisha nyumba au bati hiyo sehemu hadi umalize kujenga kazi ipo.Kuna baadhi ya maeneo ata mchanga wanabeba
Watu hawaaminiki saivi maisha magumuOngea na mtu wa hardware unalipia cement kdogokdogo, nondo, bati mnaandikishana cement yako anakua anaibadilisha mzigo mpya ukija anauza ule wako anakubadilishia anaweka mpya ili isigande siku ukiwa vzur unaenda kubeba mzigo ukiwa fresh.
Ushauri mzuri. Kijana atekeleze kwa umakini.Usiweke vitu ndani
Je una ghala kubwa la kuweza kuviweka vyote? Jibu definitely ni hapana
Kuna wizi
Kuna upotevu
Kuna uharibifu
Kuna uchafu
Kuna kuhifadhi wadudu nknk
Ukiweza jenga kwa hatua.. Kila ukipata cash yako unaikimbiza kwenye ujenzi..
Mfano
Hatua ya kwanza andaa kiwanja na ramani (kama tayari unacho)
Hatua ya pili peleka mawe, mchanga na tofali sehemu ya ujenzi (kwa hatua hii ni vema ukajenga kibanda na kumuweka mtu hapo) kibanda kitakuwa pia kama ghala
Hatua ya tatu pandisha msingi kisha mwaga zege kabisa
Hatua ya nne pandisha tofali
Hatua ya tano funga linter (hapa sasa vuta pumzi sasa ujiandae kwa ujenzi[emoji3] maana hatua zifuatazo ni maumivu tupu!)
Hatua ya sita piga kenchi na bati kwa pamoja
Hatua zifuatazo sasa ndio utaona pesa inavyoteketea[emoji1787] hivyo nenda mdogo mdogo usije ukashindwa mpaka kujihudumia
NB: kwa hatua zote hakikisha unapata mafundi wazuri na waaminifu..usije ukalia kilio cha kusaga majino
Au vitoto vinacheza juu ya mchanga siku unaenda huoni mchanga....wote umechanganyika na vumbiKuna baadhi ya maeneo ata mchanga wanabeba
Hii ni moja ya njia nzuri sana ya utekelezaji wa ujenzi hasa kwa mtu ambaye kipato chake sio kikubwa, na pia kama umepata kiasi cha fedha kwa mkupuo.Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka
Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo
Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;
1. Vitu gan vinaweza kuhifadhika kwa mda mrefu?
2. Na ni vitu gan nnatakiwa kuzingatia ili lengo litimie?
Duh Pacha umekumbuka tulivyokuwa tunachezea mchanga wa watu Hadi wakaanza kuzungushiwa michongoma kila wakimwaga mchanga ππAu vitoto vinacheza juu ya mchanga siku unaenda huoni mchanga....wote umechanganyika na vumbi
Tulikuwa tunachezea hela za watu na sisi yatatukuta tuDuh Pacha umekumbuka tulivyokuwa tunachezea mchanga wa watu Hadi wakaanza kuzungushiwa michongoma kila wakimwaga mchanga ππ
mshale21 hizi hapa hatua za kufuata, nimeona unaziulizia mahaliUsiweke vitu ndani