Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Sep 14, 2021 #21 Unaenda hardware kubwa ya kuaminika inanunua bidhaa wanakupa risiti pia hakikisha wanaingiza risiti zako kwenye computer yao kwaajili ya kumbukumbu angalizo usipoteze risiti zako
Unaenda hardware kubwa ya kuaminika inanunua bidhaa wanakupa risiti pia hakikisha wanaingiza risiti zako kwenye computer yao kwaajili ya kumbukumbu angalizo usipoteze risiti zako
Jick JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 1,327 Reaction score 2,041 Oct 7, 2021 #22 Econometrician said: Shida zote za nini tafuta sanduku LA chuma uwe unafungia hela mpaka zigike unazozihitaji. Click to expand... Bidhaa zinapanda bei. Unaanza kutunza hela bati likiwa linauzwa 20000, ukitaka kuvunja kibubu unakuta bati ni Tsh 28000
Econometrician said: Shida zote za nini tafuta sanduku LA chuma uwe unafungia hela mpaka zigike unazozihitaji. Click to expand... Bidhaa zinapanda bei. Unaanza kutunza hela bati likiwa linauzwa 20000, ukitaka kuvunja kibubu unakuta bati ni Tsh 28000
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Oct 15, 2021 #23 Asprin said: Bati na nondo uweke kiwanjani? Asubuhi hutakuta hata moja... Click to expand... πππ
Asprin said: Bati na nondo uweke kiwanjani? Asubuhi hutakuta hata moja... Click to expand... πππ