Mpango wa kumuaga Mkude kwa heshima siku ya Simba Day bado upo?

Mtemi Eno

Member
Joined
Jul 10, 2023
Posts
37
Reaction score
148
Photo by Young Africans Sports Club on July 12, 2023. May be a graphic of 1 person, poster and...jpg

Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga.

Huo mpango wa kumuaga bado upo?
 
Ataagwa tuu na shampeni atafungua...kama ratiba hazijabadilika...
 
Kwakuwa Mayele anatamani kujiunga Simba na Yanga inaelekea kumpata Chama hapo kutakuwa na faida kwa pande zote.

Mayele atakwea pipa kwenda Uturuki na Chama atapanda Pantoni kwenda kuungana na rafiki yake Mkude kule Kigamboni
 
Kwel mbumbumbu ni mbumbumbu tu yan kwa akili yako Mayele aende ukoloklolni
 
Kwakuwa Mayele anatamani kujiunga Simba na Yanga inaelekea kumpata Chama hapo kutakuwa na faida kwa pande zote.

Mayele atakwea pipa kwenda Uturuki na Chama atapanda Pantoni kwenda kuungana na rafiki yake Mkude kule Kigamboni
Caesar Manzoki tu mlishindwa kumsajili! Na mwisho wa siku Mwenyekiti wenu Mangungu akaamua kumtumia kama Campaign Manager! Ndiyo mtaweza kumsajili Fiston Kalala Mayele!

Acha utani mkurugenzi.
 
Back
Top Bottom