Kwani walisema akienda Yanga mpango unakufa?
Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga.
Huo mpango wa kumuaga bado upo?
Kwel mbumbumbu ni mbumbumbu tu yan kwa akili yako Mayele aende ukoloklolniKwakuwa Mayele anatamani kujiunga Simba na Yanga inaelekea kumpata Chama hapo kutakuwa na faida kwa pande zote.
Mayele atakwea pipa kwenda Uturuki na Chama atapanda Pantoni kwenda kuungana na rafiki yake Mkude kule Kigamboni
Caesar Manzoki tu mlishindwa kumsajili! Na mwisho wa siku Mwenyekiti wenu Mangungu akaamua kumtumia kama Campaign Manager! Ndiyo mtaweza kumsajili Fiston Kalala Mayele!Kwakuwa Mayele anatamani kujiunga Simba na Yanga inaelekea kumpata Chama hapo kutakuwa na faida kwa pande zote.
Mayele atakwea pipa kwenda Uturuki na Chama atapanda Pantoni kwenda kuungana na rafiki yake Mkude kule Kigamboni