Mpango wa uhamishaji wakazi wa gaza wazinduliwa!

Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa

Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana.

Maafisa wa usalama waliiambia Israel Hayom kwamba utaratibu umeanzishwa kuruhusu hadi watu wa Gaza 2,500 kuondoka kwa siku kwa njia tatu: kwa baharini kutoka Bandari ya Ashdod, kwa ndege kutoka Uwanja wa Ndege wa Ramon, na kupitia Rafah inayovuka kuelekea Misri.

Tangu kuanza kwa vita hivyo, takriban Wapalestina 35,000 wameondoka Gaza kupitia kivuko cha Rafah, huku wengine wakiendelea na nchi nyingine.

Zaidi ya hayo, karibu watu 1,500 waliojeruhiwa wa Gaza wamehamishiwa nchi za tatu kupitia Uwanja wa Ndege wa Ramon. Israel inalenga kuwawezesha wakaazi wengi wa Gaza kuondoka na kuona hili kama utekelezaji wa mpango wa Trump, ambao imeeleza kuuunga mkono.

Afisa mmoja wa usalama alisema: "Nia yetu ni kuruhusu watu wengi iwezekanavyo kuondoka. Hii ndiyo sababu ya mpango wa Trump, ambao Israel imeuunga mkono. Tunajaribu kuutekeleza."

Hata hivyo, licha ya nchi moja kuonyesha nia ya kuwapokea wafanyakazi wa ujenzi wa Gaza, upinzani wa kimataifa kuhusu suala hilo umeifanya kusimamisha kwa muda majadiliano kuhusu suala hilo. Mafanikio ya mpango huo yanategemea kutafuta nchi zilizo tayari kuchukua wale wanaoondoka.

Mpango huo unaibua maswali kuhusu mustakabali wa Gaza na eneo pana zaidi, na kutoa changamoto kwa mataifa ya dunia katika kuamua iwapo yatashiriki katika suluhu ya jambo hili
White House imekabidhiwa washamba.
 
Huko Loliondo vipi? Hawajahama? Au wakati Taifa la Islael lilipokuwa linaanzishwa hawakihamishwa watu kwa nguvu na mpango ukatimia?
Unafananisha Loliondo wamasai,Watanganyika watu waoga waoga na hao wananchi wa Gaza mashariki ya kati huu ni utani wa kiwango cha juu
 
Kwahiyo sasa Hawo wapalestina hawa takuwa na kwao na wanashindwa nini kuungana ili kuendeleza mapigano Yani unihamishe kwangu niende utumwani si sawa Bora kufa kiume Unganeni wa PALESTINA wote hii sijapenda
hiyo vita ni propaganda za watu wachache ila wapalestina wenyew hawaitak hiyo vita , wengi wanataman watoke hapo
 
Mbona Masai walihamishwa?
Huwezi kuwa serious ukafananisha wamasai,Watanganyika watu waoga waoga waliomezeshwa propaganda za utahira za Nyerere na hao watu wa Gaza mashariki ya kati.

Hilo suala la kuwahamisha ugumu wake wanaujua IDF mpaka mkuu wa majeshi kuondoka kisa hao watu sio kitu chepesi hata kidogo.

Israel kapigana na hao watu kwenye kijieneo sawa na wilaya ya kigamboni kwa zaidi ya miaka miwili sasa inaenda na bado anatii matakwa yao na kurudi mezani kuzungumza kile wanacho taka hakuna Mtanganyika hata mmoja mwenye guts kama hizi.

Hao watu wa mashariki ya kati achana nao usiwafananishe na Watanzania kabisa kwa lolote.
 
Sasa ndio waamishwe wakikubali kuhama nitajua Wapestina ni wapumbavu kama jeshi la Congo hivi Waislam wote mkiwachangia hata JERO JERO wakanunua silaha zenye uwezo, chakula mifumo ya ulinzi Si Israel itawakimbia kama ww ni Muslim usikubali wapalestina ndugu zenu wahame Gaza msikubali jamani
 
Nani muislam ?
 
Unafananisha Loliondo wamasai,Watanganyika watu waoga waoga na hao wananchi wa Gaza mashariki ya kati huu ni utani wa kiwango cha juu
Hivi hujui hao watu wa Gaza walihamishiwa hapo Gaza kwa nguvu? na wataondoshwa hapo kwa nguvu kama ilivyokuwa mwaka 1948.
 
IDF imejaribu imeshindwa wewe na Trump kawahamisheni.

Sasa sijui ni nani anayejua zaidi situation ya Gaza kati ya IDF, wewe na Trump ?!.
 
Hawawezi acha nchi takatifu ya manabii eti wakaishi popote hata kama watapewa bangaloo yenye sweaming pool, bustani na sakafu za dhahabu.
Asilimia kubwa ya wapalestina wa Gaza hawamiliki ardhi, wamezaliwa kwenye makambi ya wakimbizi. Wengi wanatamani kuondoka
 
Huwezi kuwa serious ukafananisha wamasai,Watanganyika watu waoga waoga waliomezeshwa propaganda za utahira za Nyerere na hao watu wa Gaza mashariki ya kati.

Hilo suala la kuwahamisha ugumu wake wanaujua IDF mpaka mkuu wa majeshi kuondoka kisa hao watu sio kitu chepesi hata kidogo.

Israel kapigana na hao watu kwenye kijieneo sawa na wilaya ya kigamboni kwa zaidi ya miaka miwili sasa inaenda na bado anatii matakwa yao na kurudi mezani kuzungumza kile wanacho taka hakuna Mtanganyika hata mmoja mwenye guts kama hizi.

Hao watu wa mashariki ya kati achana nao usiwafananishe na Watanzania kabisa kwa lolote.
Wanaweza wasihamishwe wote ila watahamishwa
 
Mbona Masai walihamishwa?
Masai walihamishwa kipropaganda lakini kihalisia masai hawakuhamishwa,ndio wale waliokuja kumuuliza Makonda kuwa Makonda tunahama?Makonda akawaambia kuwa hamuhami.
 
Hata kama kwa tabu, lakini walihama, na malengo ya waliyowahamisha yalifanikiwa.
Hakuna Masai aliyehamishwa kwa tabu,Masai waoga ndio waliohama kwa hiari yao,wasiowaoga mpaka sasa wako Ngorongoro na ndio hao waliomuuliza Makonda kama wanahama akasema hamuhami.
 
Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa

Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana.

Maafisa wa usalama waliiambia Israel Hayom kwamba utaratibu umeanzishwa kuruhusu hadi watu wa Gaza 2,500 kuondoka kwa siku kwa njia tatu: kwa baharini kutoka Bandari ya Ashdod, kwa ndege kutoka Uwanja wa Ndege wa Ramon, na kupitia Rafah inayovuka kuelekea Misri.

Tangu kuanza kwa vita hivyo, takriban Wapalestina 35,000 wameondoka Gaza kupitia kivuko cha Rafah, huku wengine wakiendelea na nchi nyingine.

Zaidi ya hayo, karibu watu 1,500 waliojeruhiwa wa Gaza wamehamishiwa nchi za tatu kupitia Uwanja wa Ndege wa Ramon. Israel inalenga kuwawezesha wakaazi wengi wa Gaza kuondoka na kuona hili kama utekelezaji wa mpango wa Trump, ambao imeeleza kuuunga mkono.

Afisa mmoja wa usalama alisema: "Nia yetu ni kuruhusu watu wengi iwezekanavyo kuondoka. Hii ndiyo sababu ya mpango wa Trump, ambao Israel imeuunga mkono. Tunajaribu kuutekeleza."

Hata hivyo, licha ya nchi moja kuonyesha nia ya kuwapokea wafanyakazi wa ujenzi wa Gaza, upinzani wa kimataifa kuhusu suala hilo umeifanya kusimamisha kwa muda majadiliano kuhusu suala hilo. Mafanikio ya mpango huo yanategemea kutafuta nchi zilizo tayari kuchukua wale wanaoondoka.

Mpango huo unaibua maswali kuhusu mustakabali wa Gaza na eneo pana zaidi, na kutoa changamoto kwa mataifa ya dunia katika kuamua iwapo yatashiriki katika suluhu ya jambo hili
Hamsi wako kwenye mahandaki raia wakiondoka wote hapo ndo hamsi watakamatika kama kuku wa kizungu Gaza itafujukiwa juu chini chini juu mahandaki yote yatafuchukiwa
 
Back
Top Bottom