Wana nguvu , wana Sophiscated & advanced weapons ,Watu wa Ghaza hawana nguvu, Hawana Silaha za kizazi hiki, Lakin Namuomba Muumba atupe Umri na Afya....Huu mpango hautafanikiwa Kamwe.Vichaa wamekabidhiwa white house, sasa ni show show tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana nguvu , wana Sophiscated & advanced weapons ,Watu wa Ghaza hawana nguvu, Hawana Silaha za kizazi hiki, Lakin Namuomba Muumba atupe Umri na Afya....Huu mpango hautafanikiwa Kamwe.Vichaa wamekabidhiwa white house, sasa ni show show tu.
Kubwa, watapata ajira na kuacha utegemezi wa misaada kwa 100%Aisee nimeona ramani ya mji utakavyokuwa Kwakifupi hata kama itachukua miaka 10 lazima wapalestina wataondoshwa Tu...watu wa Gaza wanatia huruma Sana
October 7 imezalisha matatizo makubwa Sana Kwa wapalestina
Thubuutuu. Shida ya hao jamaa wakitulia na wakishazaliana; hata ipite miaka mingapi lazima wataliamsha tuu. Bora tuwaache au tujiepeshe nao. Wale jamaa akili zao zinawatosha wenyewe tuu.Tanzania ina ardhi kubwa sana waje tuwapeleke Kigoma wakazalishe
Je; Na kama ni mpango wa Muumba; unataka kumuomba aghairi Mpango wake halafu itakuwaje kwa mfano.Wana nguvu , wana Sophiscated & advanced weapons ,Watu wa Ghaza hawana nguvu, Hawana Silaha za kizazi hiki, Lakin Namuomba Muumba atupe Umri na Afya....Huu mpango hautafanikiwa Kamwe.
Thubuutuu. Shida ya hao jamaa wakitulia na wakishazaliana; hata ipite miaka mingapi lazima wataliamsha tuu. Bora tuwaache au tujiepeshe nao. Wale jamaa akili zao zinawatosha wenyewe tuu.
IDF imeshndwa wkt israel anarud hapo mashariki ya kati je unatambua kwmb wapalestina ndo walikuwa na eneo kubwa la nchi kuliko israel? kama ndiyo je mpk sasa nani ana eneo kubwa kati ya israel na palestina? sa mpk hapo unataka uone dalili gn zngne za wapalestina kuondoshwa hapo. je unatambua mji mkuu wa israel ulikuwa tel aviv lakn sasa ni jerusalem? kama ndiyo sa bdo unataka uone nn cha kuthibtisha wapalestina wanaondoshwa hapo? wako wp hezbollah na mafataki yao, wako wp hamas na mafataki yao waendelee kuyarusha sasa. je unatambua kwmb israel yupo gaza na kashasema hatoki hapo na hataki waona hamas hapo? ewe mchina wa kitwechembogo biharamulo unaleta chuki zako badala ya uhalisia kwmb wapalestna wameshachelewa tyr.IDF imejaribu imeshindwa wewe na Trump kawahamisheni.
Sasa sijui ni nani anayejua zaidi situation ya Gaza kati ya IDF, wewe na Trump ?!.
kama yule mjinga mwehu wa china xi ji ping na mwehu mwenzake putin au siyo yaan ww karunguyeye wa bisibo kagera unamuita trump mwehu hiki ni kichekesho ww mla mahindi ambayo marekan wao ni chakula cha mifugo unamuita netanyahu mwehu hivi una akili timamu kweli wwTrump ni mwehu, mropokaji mjinga mjinga amekutana na mwehu mwenzake Netanyahu.
Punguza utoto na ujinga sio kila mtu humu mtoto mwenzio.kama yule mjinga mwehu wa china xi ji ping na mwehu mwenzake putin au siyo yaan ww karunguyeye wa bisibo kagera unamuita trump mwehu hiki ni kichekesho ww mla mahindi ambayo marekan wao ni chakula cha mifugo unamuita netanyahu mwehu hivi una akili timamu kweli ww
Kidogo uko sawa ila kidogo umepotosha!!!Ngoja nikupe kidogo chanzo Cha huu mzozo. Hapo zamani sana Waislaeli walikuwa wakiishi Islaeli na sehemu yote ya Gaza na West Bank. Ikatokea waislaeli wakahama maeneo yote hayo ya Islaeli,Gaza na West Bank.
Baada ya hapo wapalestina walitoka maeneo yanayozunguka Islaeli, Gaza na West Bank. Wakaishi hapo miaka na miaka mpaka historia yote ya wapi walitoka wakaipoteza. Ila hapo Islaeli walibaki wayahudi wachache sana.
Baadaye Wayahudi Hawa waliingia kwenye matatizo makubwa huko walipokwenda (kwenye mataifa matajiri duniani kote) waliuwawa sana na Adolf, ndipo walipoamua kujikusanya kurudi kwao Islaeli ambapo waliwakuta wapalestina wakiishi hapo. Wapalestina waliona kama waislaeli ni wavamizi kwenye ardhi Yao na waislaeli waliona kama wapalestona ni wavamizi kwenye eneo lao. Hapo ndipo mgogoro ulipoanzia. Na kila mmoja anaamini ardhi hiyo ni yake.
Walikaa hivyo kwa misuguano mikali mpaka ikatokea vita Ile ya siku chache iloyohusisha Waislaeli na mataifa kadhaa ya kiarabu. Baada ya islaeli kushinda vita hivyo akachukua kwa nguvu maeneo kadhaa ya Misri, siria Jordani. N.k na baadhi ya maeneo hayo Bado anayakalia kwa nguvu mpaka Leo.
Baadaye waparestina walihamishwa kwa nguvu kutoka Islaeli kwenda Gaza na west bank. Hivyo ndivyo waislaeli walivyotengeza Taiga lao.
Tukirudi kwenye madam ya kuhama, watu wote wa Gaza watahamishwa kwa nguvu na baada ya kumaliza zoezi Hilo watafuata watu WA west bank. Mwisho Islaeli yote itakuwa ya waislaeli.