Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

Huyu ni njaaa tuuu
 
Hata angefanikiwa tungeambiwa kauza twiga ndo tukashushiwa bei ya mafuta na waarabu...au Kesha pata faida ya kuuza magenereta...au huo mpango JPM alishauacha kwenye motion.. Makamba kaudandia..hakuna zuri atakalofanya Makamba likaitwa zuri
 
Huyo taahira unaendelea Kupoteza mda wako kusikiliza ngonjera zake,kama maji mtoni kidogo, Mara kunguru kasababisha nyaya za taensco kuku sana,Mara viwanda vilikuwa vinanyimwa umeme! It is full of stupid sentences!
 
Ndiyo. Wengi tunasubiri kwa hamu kubwa kuiona nchi yetu by 2025 kuwa petrol hub ya nchi za Afrika Mashariki na Kati. Wewe hupendi kuona hilo likitokea?

Kwa hiyo na hili petrol hub anasubiri makelele yawe mengi ndiyo aachie?
Hilo jina halikufai.
 
nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki.
Mbona hauulizi wameshughuliwa mameneja wangapi wa umeme baada ya kupita wiki mbili na umeme ukaendelea kukatika? Au umechagua maelezo hayo?
 
Labda tuulize machawa wake walioshangilia na kumpamba wakati wanajua ni uongo tu.

Kipindi hicho alikua anajitetea tu baada ya kwenda kutafuna pesa za wananchi kuangalia upandaji wa nyasi jangwani wakati sisi haitusaidii kwa kua hatuna jamngwa.
 
Mbona umeme ameweza, haukatiki tena tangia Christmas na bwawa la Nyerere kalijaza maji. Hata hili atakuja kutufanyia suprise ya performance yake nzuri.

Ogopa matapeli wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi.
 
Ndiyo. Wengi tunasubiri kwa hamu kubwa kuiona nchi yetu by 2025 kuwa petrol hub ya nchi za Afrika Mashariki na Kati. Wewe hupendi kuona hilo likitokea?

Kwa hiyo na hili petrol hub anasubiri makelele yawe mengi ndiyo aachie?
Tanzania iwe hub ya petroli inayotoka nje, huku gas iliyopo ndani ya nchi yetu wenyewe tunaambiwa imeshauzwa? Inaonekana umelishwa propaganda mfu ukashiba.
 
we Mama mbona umeandika unafiki namna hii!! kwani bwawa siwalishindwa kulijaza maji kwaajili ya ukame ulioikumba nchi? vyanzo vya maji vilikua vimekauka
Tujitahidi kuwa wazalendo na wavumilivu kwenye maslahi ya Taifa letu unafiki haujengi
 
Hata angefanikiwa tungeambiwa kauza twiga ndo tukashushiwa bei ya mafuta na waarabu...au Kesha pata faida ya kuuza magenereta...au huo mpango JPM alishauacha kwenye motion.. Makamba kaudandia..hakuna zuri atakalofanya Makamba likaitwa zuri
ni kwali huyu boss anajitahidi kufanya mambo ila wanafiki wanachojua nimarehemu
 
Achaga utoto Basi,ule Ni mpango wa Serikali na Ni mpango utaotekelezwa kwa mda mrefu,Hadi wajenge matanki makubwa huko sio leo Wala kesho inahitaji Pesa nyingi..

Waziri hakusema Ni mpango wa mda mfupi Bali wa mda mrefu.
 
unadhihirisha kuwa umesikiliza mawazo ya kijiweni
 
Ukamwamini Njaanwari?
 
February marope akikwambia kumekucha usimwamini mpaka utoke nje uthibitishe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…