Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni KANI MAKINIKIA.Mara nyingi gunzi kuna mvutano mkubwa sana ina maana uchawi mtupu
Ni falsafa za kishirikina
kwanini gunzi la mahindi tu?jaribu kufunga mawili uoneHahaha hata sie kwetu tulikuwa tunafunga sana gunzi za mahindi yaani mpapai unaacha wenyewe kutoa maua na kuanza kuzaa mpapai hadi Leo sijajua why zaidi ya kupata hisia kuwa ule mbinyo unapoufunga kamba na gunzi hubadilisha kitu
Hawa Watoaji Comments Ni Hayati Professor Maji Marefuwazee wa sayansi hawajatokea bado....ngoja niendelee kuwasubiri
Ni suala nililolisikia muda ila nimethibitisha baada ya mpapai kurefuka tu bila kuzaa nikaufunga gunzi ukazaa mapapai mawili, kutokana na mvua gunzi lilianguka, ukaacha kuzaa, ukafungwa gunzi tena sasa hivi una mapapai mengi tu.
Je, hili suala laweza thibitika kisayansi?
Kwa hiyo stress linapata kwa kufungwa gunzi tu au hata ukilibebesha mawe linabadili jinsia.Stress za mmea (papai) pindi limefungwa na hilo bunzi ndio inapelekea kubadilika kwa jinsia ya huo mpapai. Mara nyingi hutokea hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali kinoma! Nimefanya sana hizi mambo kwa miparachichi, michungwa n.k ilisiyozaa na inayodondosha matunda yakiwa machanga.We ndio umetoa jibu sahihi na sio mpapai tu sisi nyumbani ilikua mkitaka mti uzae mapema mfano mparachichi unachukua kipande cha nondo au msumari wa nchi 6 unagongelea pale shinani basi mapema sana utaona mparachichi unatoa mauwa na kisha matunda, hii pia kwa mwembe na jamii za miti mingi ya matunda .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ignulaasm,
If its true, which I believe it is, it must be one of the most interesting eories!
Ngoja niijaribu hii...Ukitaka mpapai uwe jike, wakati unaupanda, kata ule mzizi mrefu.
Ngoja niijaribu hii...
Nafikiri ndio ulikua umefikia mwaka wake wa kuzaa, hata kama usingeyafanya hayo.Umenikumbusha mbali kinoma! Nimefanya sana hizi mambo kwa miparachichi, michungwa n.k ilisiyozaa na inayodondosha matunda yakiwa machanga.
Kuna mlimao mmoja uliwahi kunigomea kwa kutumia msumari mara mbili; mwaka was tatu nikagonga msumari mkuukuu hivi nikaung'oa; kisha nikaupaka msumari mavi meusi ya kuku (yale yanayonuka), na kuugongea tena. Tulikula malizao mpaka ukajizeekea zake.
Nimewahi kuona minazi ikigongelewa vipande vikubwa vya nondo....sikuwahi kuelewa sababu....Umenikumbusha mbali kinoma! Nimefanya sana hizi mambo kwa miparachichi, michungwa n.k ilisiyozaa na inayodondosha matunda yakiwa machanga.
Kuna mlimao mmoja uliwahi kunigomea kwa kutumia msumari mara mbili; mwaka was tatu nikagonga msumari mkuukuu hivi nikaung'oa; kisha nikaupaka msumari mavi meusi ya kuku (yale yanayonuka), na kuugongea tena. Tulikula malizao mpaka ukajizeekea zake.
Mani.na walah. Haahahakuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa shule ya msingi nilipanda mpapai nyumbani, likawa dume wakati nasikitika mama akaniambia libebeshe gunzi, nikafanya hivyo baada yamiezi mitatu nikaona linaanza kuweka maua na kisha likazaa mapapai swaafi.Ni suala nililolisikia muda ila nimethibitisha baada ya mpapai kurefuka tu bila kuzaa nikaufunga gunzi ukazaa mapapai mawili, kutokana na mvua gunzi lilianguka, ukaacha kuzaa, ukafungwa gunzi tena sasa hivi una mapapai mengi tu.
Je, hili suala laweza thibitika kisayansi?
Mara nyingi gunzi kuna mvutano mkubwa sana ina maana uchawi mtupu
Ni falsafa za kishirikina