Bustani kuna mipapai dume miwili midogo midogo ngoja nkaifunge vigunzi.
Naahidi ikibadilika na kuwa jike ntaleta mrejesho
Kilichofanya useme ni dume ni kiasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bustani kuna mipapai dume miwili midogo midogo ngoja nkaifunge vigunzi.
Naahidi ikibadilika na kuwa jike ntaleta mrejesho
Imani nyingine iliyopo ukiupigilia msumari kwa chini wanadai papai halidondoki adi utungue mwenyewe, mama yangu amefanya hivyo, papai linaiva adi linaozoe juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huo msumari unapigilia na kuuacha hapo shinani au unauchomoa?Imani nyingine iliyopo ukiupigilia msumari kwa chini wanadai papai halidondoki adi utungue mwenyewe, mama yangu amefanya hivyo, papai linaiva adi linaozoe juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu ni vya kienyeji, ila vinafanya kazi vizuri kuliko vya kisayansi.Hii ni kweli, hata mimi nilijaribu mpapai dume ukaanza kutoa mapapi hadi nakula!
Sijui kuna sababu gani kisayansi! Inashangaza kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app