Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Rubbish.Kuna viashiria si shwari tena baraza la mawaziri.
1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa JPM Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.
2) Makamu wa Rais na wengi wa mawaziri watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya baraza la mawaziri.
3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.
4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa baraza la mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya baraza la mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.
Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi
5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu.
6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato n.k wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.
7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye baraza la mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga khoja ya kufiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.
8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.
9) Pamoja na JK kujitokeza hadharani na kudai ana muunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.
10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya baraza la mawaziri na tunabashiri wakati wa uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya umakamu wa urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Umeandika kama unajua kinachoendeleaKuna viashiria si shwari tena baraza la mawaziri.

Kwa hiyo sasa kawa Mungu?Rubbish.
Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.
Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Jibu khoja kama una ubavu badala ya kujikita kwenye mipasho tuRamli chonganishi hii!
Kama ni mbumbumbu si useme tu tutakuelewa kuliko kukimbilia CRAP bila kuelezea kwanini ni CRAP!Umeandika kama unajua kinachoendelea
Kumbe ni ndoto zako za mchana
Crap
Kama nawe una akili kubwa,sio lazima kuijibu thread yake.Rubbish.
Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.
Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Wanaobisha hizi hoja wamehongwa na ndiyo maana hawana ubavu wa kuzipangua wanabakia mipasho tuNi kweli kwa hoja zilizoandikwa hapo juu, ndio maana siku ile wakipitisha ule uharamia kule bungeni, zipo sauti zilizosikika za wabunge zikisema jambo la mama lisikwame.
Kwa hiyo kama Samia akiwa mwenyekiti wa CCM, na Amiri Jeshi mkuu, ndio atoe bure bandari zetu watanganyika milele kwa waarabu?Rubbish.
Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.
Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Teh teh teh!Ipasuke
Yaani ukitafakari hoja za hawa wasaliti inafika mahali inabidi uanze kuwaonea hurumaKwa hiyo kama Samia akiwa mwenyekiti wa CCM, na Amiri Jeshi mkuu, ndio atoe bure bandari zetu watanganyika milele kwa waarabu?
Ulichokiandika kinaonekana wazi kipo, hakuna asiyejua mpango wa kutoa bandari zetu zote Tanganyika milele kwa waarabu lilikuwa ni wazo binafsi la Samia, lililopewa ushirikiano na vibaraka kama wakina Spika Tulia.Wanaobisha hizi hoja wamehongwa na ndiyo maana hawana ubavu wa kuzipangua wanabakia mipasho tu
BIG POINT!Kama nawe una akili kubwa,sio lazima kuijibu thread yake.
Munaoshusha hadhi ni nyinyi ambao mnajipendekeza kwa serikali hata kwenye mambo ya hovyo.mwenye akili ndogo ni yule anayeuza bandari zetu kwa faida ya mwekezajiRubbish.