Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Ulichokiandika kinaonekana wazi kipo, hakuna asiyejua mpango wa kutoa bandari zetu zote Tanganyika milele kwa waarabu ni wazo binafsi la Samia, lililopewa ushirikiano na vibaraka kama wakina Spika Tulia.
Na huyu Tulia alitulizwa na chapaa siyo bwerere anatusaliti na hata jimboni kwake hawataki hata kumsikia.
 
Munaoshusha hadhi ni nyinyi ambao mnajipendekeza kwa serikali hata kwenye mambo ya hovyo.mwenye akili ndogo ni yule anayeuza bandari zetu kwa faida ya mwekezaji
Huna akili, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza unga mkono Ccm, lakini pamoja na hilo hatutaki habari za kuungaunga JF.

Kwanza Mama Samia kutokwenda Urusi binafsi nimefurahi, Rais wetu hawezi kukutana na muuwaji, Kwahiyo kumpeleka Pm ni sahihi kabisa.

Kwa bahati Mbaya wengi hamjui majukumu ya makamu wa Rais basi tuwasamehe bure tu.

Hakuna jambo lolote kubwa kwenye nchi lisilopita kwenye baraza la mawaziri.

Ni mtu asiyekuwa na akili tu ndio hajui nguvu za Mwenyekiti wa Ccm kwenye vikao vyao, Mwenyekiti wa Ccm angekuwa hana "VETO" basi Lowasa angekuwa Rais wa Tanzania.

Mpaka dakika hii Ccm ni chama dola ambacho mifumo ya dola imefungamana na chama, hakuna kikaragosi yeyote mwenye jeuri ya kumchallenge Mwenyekiti wa Ccm, na ndio maana unaona machawa wazee kama Wasira na Kinana wamerudishwa kwenye kalamu hawa ndio wenye jukumu la kuwazima walafi wote watakaotaka kuchafuwa hali ya hewa.

Kama Ccm wanaweza kumfukuza uanachama mtoto wa Karume hakuna mtu mwingine yeyote wa kuleta fyokofyoko kwenye vikao vya chama.
 
Sasa kama unakiri nguvu ya mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyao, unakataa nini mleta mada aliposema Samia ndie engineer wa wazo la kutoa bure bandari zetu kwa waarabu, ambapo kwasababu hiyo ndio maana hao wengine aliowataja, akiwemo VP, hawamuungi mkono?

Hiyo maana yake hata kama jambo kubwa likipita kwenye baraza la mawaziri, bado, tena kwa hoja yako mwenyewe, na mfano wako wa Lowassa na kura ya Veto, unaonesha vile Samia alivyowaburuza wengine (kama huo mkutano ulikuwepo) kuwapendelea waarabu kwenye ule mkataba wa hovyo.
 
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Kina Zembwela, Kitenge na Gerald Hando ndio waliochaguliwa kutuwakilisha Dubai!
 
Mlianza na Mwanasheria Mkuu kawa kimya, Mkaja Waziri Mkuu kawa kimya sasa mmeamia kwa Baraza la Mawaziri.

Huo ujinga wenu bora muwe mnakaa nao chumbani kwenu kwa wake zenu tu. Mnajidhalilisha sana kila siku kuja na hekaya za Abunuasi humu

Ndo mana mkiambiwa hamna hoja kwenye suala la Bandari mnaishia kubwabwaja sana. Huu uzushi mnaozidi kuubadilisha kila siku ni ishara kuwa mmechanganyikiwa
 
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
 
Sasa kama unakiri nguvu ya mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyao, unakataa nini mleta mada aliposema Samia ndie engineer wa wazo la kutoa bure bandari zetu kwa waarabu, ambapo kwasababu hiyo ndio maana hao wengine aliowataja, akiwemo VP, hawamuungi mkono?

Hiyo maana yake hata kama jambo kubwa likipita kwenye baraza la mawaziri, bado, tena kwa hoja yako mwenyewe, na mfano wako wa Lowassa na kura ya Veto, unaonesha vile Samia alivyowaburuza wengine (kama huo mkutano ulikuwepo) kuwapendelea waarabu kwenye ule mkataba wa hovyo.
Hakuna mtu wa kupinga Ccm, ukishakuwa Ccm wewe tayari umeshajitenga na umma.

Wabunge wote huwa wanaitwa na kuingiziwa mpunga wao bank kukosa na mission za kitaifa.

Mnapoonaga bunge ni kuna wabunge huwa wanajitowa akili usidhani ni bure, wapo wachache wanaojiheshimu hata wakichukuwa hizo pesa lakini bungeni huwa hawaingii kabisa siku hiyo.
 
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Nimekumbuka Uzi wako Mkuu wa new administration under SSH gives hope after 5 hopeless years.

Vipi , bado msimamo wako wa Uzi ni uleule?
 
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Usidhani Kwa kumwambia ana akili ndogo ndio zitakuwa ndogo, Bali wewe ndo unadhiririsha kuwa na akili ndogo kuliko yeye Kwa Kupangua hoja zake alizotoa zinazoashiria hali si shwari
 
Mlianza na Mwanasheria Mkuu kawa kimya, Mkaja Waziri Mkuu kawa kimya sasa mmeamia kwa Baraza la Mawaziri.

Huo ujinga wenu bora muwe mnakaa nao chumbani kwenu kwa wake zenu tu. Mnajidhalilisha sana kila siku kuja na hekaya za Abunuasi humu

Ndo mana mkiambiwa hamna hoja kwenye suala la Bandari mnaishia kubwabwaja sana. Huu uzushi mnaozidi kuubadilisha kila siku ni ishara kuwa mmechangqnyikiwa
Chawa bora unyamaze tu.
 
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.

Futuhiiiiiii
 
Hakuna mtu wa kupinga Ccm, ukishakuwa Ccm wewe tayari umeshajitenga na umma.

Wabunge wote huwa wanaitwa na kuingiziwa mpunga wao bank kukosa na mission za kitaifa.

Mnapoonaga bunge ni kuna wabunge huwa wanajitowa akili usidhani ni bure, wapo wachache wanaojiheshimu hata wakichukuwa hizo pesa lakini bungeni huwa hawaingii kabisa siku hiyo.
Hata kama hayupo wa kuwapinga toka humo ndani, lakini kwa nje tunaona ishara ambazo mleta mada ndio ameziandika.

Ndio maana hata kule bungeni siku ile ya kupitisha ule mkataba wa kihuni, wapo wabunge ambao hawakutakiwa kuwemo mule ndani kwa kuogopwa misimamo yao tofauti, na wengine kama kina Mpina wakatakiwa kutoa mchango wao kwa maandishi.

Hiyo maana yake ni hata kama mwenyekiti akiwaburuza vikaoni kama ulivyoandika mwanzo, lakini bado wapo wenye misimamo yao ambao bado huofiwa mpaka wakati wa maamuzi unapofika.
 
Hata kama hayupo wa kuwapinga toka humo ndani, lakini kwa nje tunaona ishara ambazo mleta mada ndio ameziandika.

Ndio maana hata kule bungeni siku ile ya kupitisha ule mkataba wa kihuni, wapo wabunge ambao hawakutakiwa kuwemo mule ndani kwa kuogopwa misimamo yao tofauti, na wengine kama kina Mpina wakatakiwa kutoa mchango wao kwa maandishi.
Hebu nitajie chama kimoja tu ambacho wanachama ni wamoja wakati wote kwa hoja yoyote.
 
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Siipendi serikali hii ila wakati tunaipinga na kuikosoa tuikosoe na kuipinga kwa hoja zenye ukweli. Si mara ya kwanza waziri mkuu kumwakilisha rais kwenye mikutano kama hiyo. Wakati wa JPM waziri mkuu alitumwa kumwakilisha rais kwenye mkutano kama huo China na baadaye mkutano kama huo Urusi
 
Hebu nitajie chama kimoja tu ambacho wanachama ni wamoja wakati wote kwa hoja yoyote.
Wewe unaonekana hata mleta mada hukumuelewa, suala hapa sio wanachama kuwa wamoja mpaka mwisho, ndio maana mleta mada amesema, wapo watanganyika wasioridhishwa na ule msimamo wa kutoa bure bandari zetu kwenye baraza la mawaziri, sasa unachoniuliza hapa ni sawa na wewe kutoka nje ya mada.
 
Nitajie tu ni baraza la mawaziri la awamu ipi liliwahi kupinga hoja iliyopo mezani kwenye baraza lao la mawaziri?

NEC ya Ccm ilikutana Dodoma na kubaliki mkataba wa DP bila kuona wala kuhoji kipengere chochote.

Wewe huwajui Ccm.
 
Mleta mada anazungumzia individuals, ambao hawaoneshi ushirikiano juu ya ule uamuzi wa hovyo kimya kimya, ajabu wewe unazungumzia maamuzi ya pamoja, ndio maana nakwambia hujamwelewa hata mleta mada, ulikurupuka tu na kuita kile alichoandika rubbish.
 
) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa JPM Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.
Huu mkataba ni moja ya ufisadi mkubwa uliowahi kutokea Tanzania!
 
Back
Top Bottom