Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Usidhani Kwa kumwambia ana akili ndogo ndio zitakuwa ndogo, Bali wewe ndo unadhiririsha kuwa na akili ndogo kuliko yeye Kwa Kupangua hoja zake alizotoa zinazoashiria hali si shwari
Mpe vidonge vyake ameze ateme ni shauri lake sisi hatuhusiki
 
Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada anazungumzia individuals, ambao hawaoneshi ushirikiano juu ya ule uamuzi wa hovyo kimya kimya, ajabu wewe unazungumzia maamuzi ya pamoja, ndio maana nakwambia hujamwelewa hata mleta mada, ulikurupuka tu na kuita kile alichoandika rubbish.
Mwelimishe ila sina uhakika na mlo aliolamba ataelimika
 
Nitajie tu ni baraza la mawaziri la awamu ipi liliwahi kupinga hoja iliyopo mezani kwenye baraza lao la mawaziri?

NEC ya Ccm ilikutana Dodoma na kubaliki mkataba wa DP bila kuona wala kuhoji kipengere chochote.

Wewe huwajui Ccm.
Upo mgomo baridi unaendelea kimya kimya tu
 
Siipendi serikali hii ila wakati tunaipinga na kuikosoa tuikosoe na kuipinga kwa hoja zenye ukweli. Si mara ya kwanza waziri mkuu kumwakilisha rais kwenye mikutano kama hiyo. Wakati wa JPM waziri mkuu alitumwa kumwakilisha rais kwenye mkutano kama huo China na baadaye mkutano kama huo Urusi
Tusaidie tarehe halisi kumbukumbu zetu zinaonyesha unaongopa [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787]
 
Mkutano huko Russia waafrika wengi walioenda ni Mawaziri wakuu na mawaziri wa wizara.

Siyo ceremonial figures bali watendaji
 
Tusaidie tarehe halisi kumbukumbu zetu zinaonyesha unaongopa
emoji2.png
emoji3.png
emoji1.png
emoji16.png
emoji1787.png
emoji23.png
emoji2.png
emoji3.png
emoji1.png
emoji16.png
emoji1787.png

[/QUOTE
PMO_0185.jpg
mwak 2018 alimwakilisha rais kwenye mkutano kati ya Africa na China
 
Back
Top Bottom