hamada umelewa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 575
- 999
Tusaidie tarehe halisi kumbukumbu zetu zinaonyesha unaongopa [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787]
Tusaidie tarehe halisi kumbukumbu zetu zinaonyesha unaongopa [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787]
Nani alikuambia Russia inaongoza kwa kuwa na natural resources nyingi hapa duniani?Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;
1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.
2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.
3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.
4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.
Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.
5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.
6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.
7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.
8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.
9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.
10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Hakuna mpasuko wala nini ! Watu wamo kwenye mavieite wanakula bata !!Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Turudi kule nitakujibu kule kule kwenye ile makala hapa tunawakomalia waliotuuza mchana kweupe kabisa
Wote wezi wa kura kwa hiyo hakuna unafuu kwetu hadi pale kura zetu zitakapoheshimiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mchana kweupe.
Lakini Mkuu unaonaje hali?
Heri ipi?Miaka 5 uliyoiita hopeless,ama kwa sasa tupo kwenye right track?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa yanayotokea mwanamke hatakuja kuwa rais wa Tanzania kamwe maana yanaaibisha
Bandari kuuzwa ni dalili ya ugonjwa wa kifaduro kwenye katiba yetu. Huwezi ukatofautisha haya mambo mawiliHakuna mpasuko wala nini ! Watu wamo kwenye mavieite wanakula bata !!
Sisi makabwela ndio tupo kwenye mpasuko usio kuwa na tija !!
Katiba bora mpya ndio suluhisho la matatizo yetu sio Bandari wala magati yake !!
Vipi hali ipoje sasa ukicompare na miaka Ile 5?Wote wezi wa kura kwa hiyo hakuna unafuu kwetu hadi pale kura zetu zitakapoheshimiwa
Rais Samia ndio M/kiti wa Ccm na Amiri Jeshi MkuuRubbish.
Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.
Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Ninashukuru umetupa matumaini hata mimi ninaamini tukimpata mwanamke aliyechaguliwa na wananchi siyo mwizi wa kura atatufaa sanaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiwanyime fursa wanawake Mkuu
Wanawake tunaweza.
Tunaupiga mwingi.
Wapo wanawake wengi tu watagombea Tena,akiwepo Mama mwenyewe.
Kuna akina Mama makini akina Sendiga,Migiro na wengine wengi.
Msamehe tu ni hizi hongo ndizo zinamtesaRais Samia ndio M/kiti wa Ccm na Amiri Jeshi Mkuu
Ulichokiandika kinahusu wapi kwenye kujibu au kujenga oja yako au kupinga au kukubaliana na mleta mada?
Naquote maneno yako
》Rubbish
》Kama una akili ndogo
Then tafakari nani anayastahili
Ndio maana tunasema katiba mpya bora ndio muarobaini wa matatizo yetu mengi yaliyopo na yatakayokuja !!Bandari kuuzwa ni dalili ya ugonjwa wa kifaduro kwenye katiba yetu. Huwezi ukatofautisha haya mambo mawili
Nani alikuambia Russia inaongoza kwa kuwa na natural resources nyingi hapa duniani?
Kama Hujui kaa kimya.
Hahaha,swali konki umeulizaHebu nitajie chama kimoja tu ambacho wanachama ni wamoja wakati wote kwa hoja yoyote.
Tatizo la vuguvugu la katiba mpya wengi hawajatafakari tatizo ni mfumo wa demokrasia ya vyama vingi ndipo ilipotufikisha hapa tulipo.Ndio maana tunasema katiba mpya bora ndio muarobaini wa matatizo yetu mengi yaliyopo na yatakayokuja !!
Mengine yote ni abracadabra tu !! Tumeona wakuu wote wa Nchi waliopita wamefanya waliyoyafanya hata kama baadhi ya watu hawakuyapenda yaliyofanywa ! Yote hiyo ni kwa sababu Katiba haijawakataza kufanya vile !!
Ndiyo maana ktk ule uzi wa Smia niliandika "Alot of nothing" . Kuanzia sasa badilisha heading ya ule uzi.I AM BACK!
Lengo kuu ni kutumia fursa za ajira kutusilimisha. Wataanza kuuliza dini ya mtafuta ajira akiwaambia siyo muislamu hawamwajiri na hata akisema ni Mwislamu watamuuliza mistari ya Koran ili kujihakikishia ni mwenzaoNchi imeuzwa hii ili tujengewe misikiti.
Siwezi utabaki hivyo hivyo kumkumbusha alianza vizuri kwa kututoa khofu za kudhulumiwa haki zetu za ubinadamu sasa kaenda kulekuleNdiyo maana ktk ule uzi wa Smia niliandika "Alot of nothing" . Kuanzia sasa badilisha heading ya ule uzi.