Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

We jamaa kuna mahali nimeona unasema sisi wakristo ndo tumesoma kuliko hao wavaa kobazi ,
ila kila nikicheki naona walio weng kati ya walio pitisha huo tunao usema uuzwaji wa bandari weng ndo wapo huo upande wa wasomi wa hii nchi .
Je,wasomi wetu hawajitambui au kuna sehemu kunatatizo ambalo tunalo toka tuna anza kuingia mikatab ya madin kipind cha awamu ya 3 mpka leo
Ukichek hat hiyo mikatab ya madin hatujui inaisha muda gan toka mkap ametia sain
Wote wameuza nchi kwa kuhongwa huo ndiyo ukweli
 
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Povu la nini?,unampangia aandike kile kitakufanya utabasamu?

Mbona unaingilia uhuru wake wa kutoa maoni?
Kavunja sheria ipi?
 
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Acha uzushi wewe
 
Hamna mpasuko wowote kwa hao waabudu vyeo. Wangekuwa na jeuri hiyo tusingeona mikataba ya kihuni. Kwa huko serikalini rais akishaamua jambo imeisha hiyo. Hakuna anayethubutu kupinga.
 
Upo mkuu umepotea sana kwenye kwenye lile jukwaa au umeshastaafu mkuu
 
Hamna mpasuko wowote kwa hao waabudu vyeo. Wangekuwa na jeuri hiyo tusingeona mikataba ya kihuni. Kwa huko serikalini rais akishaamua jambo imeisha hiyo. Hakuna anayethubutu kupinga.
Nidhamu ya uwoga haimaanishi ni kuunga fikra potovu za mwenyekitebe
 
Our major projection

If the elections of 2025 are free and fair CCM will lose 181 parliamentary seats, the presidency and 85% of councillors.

MAKADIRIO YETU YA CHAGUZI ZA 2025.

Endapo uchaguzi utakuwa huru na haki CCM itapoteza Urais, wabunge 181 na 85% ya madiwani kutoka vyama vya upinzani.
 
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Kumbe wew ni jamaa ni hamnazo kabisa....nimeprove tangu Jana uliposema uwanja wa ndege ni lazima uwe karibu na maji
 
[emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23]
 
HAKUNA nchi duniani ina Waziri Mkuu na Makamu wa Rais zaidi ya Tanzania.
 
Kumbe wew ni jamaa ni hamnazo kabisa....nimeprove tangu Jana uliposema uwanja wa ndege ni lazima uwe karibu na maji
Hakuna unachokijuwa kwenye Aviation pumbavu wewe.

Sehemu zenye maziwa na bahari ni recommended viwanja vya ndege vijengwe karibu na maji.

Jinga kabisa.
 
Attachments

  • FB_IMG_1684827463577.jpg
    FB_IMG_1684827463577.jpg
    46.5 KB · Views: 17
Back
Top Bottom