Mpasuko mkubwa waikumba Simba SC

Jaman maisha lazima yaendelee, huyo Manara mnadhan atakuwa msemaji wa Simba maisha yake yote? Kwahili mimi naona Haji hana makosa, kuna wadhamini ambao wamedhamini hiyo 'event' yaan wai'cancel' kisa Simba imefungwa? Hapana kwakweli sio sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tuschien timu yetu na kuanza kutuzushia uongo mfumo wa sasa hauwezi kulets mpasuko unaosema
 
Hakuna mpasuko... yanga mnakesha mkijadili ya Simba tutawaona mnabeba kombe gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…