monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
hahaha thawaa mkuumkuu ni Likwiidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha thawaa mkuumkuu ni Likwiidi
Ila Manara, ameikosea Club, asisahau huko alikofikia ni Simba ndiyo iliyomfikisha, nani alikua anamjua Haji, kabla ya kuwa msemaji wa Simba.Manara amesema Simba sio Baba wala Mama yake asibabaishwe.
Tukutane cairo mkuuHakuna mpasuko... yanga mnakesha mkijadili ya Simba tutawaona mnabeba kombe gani?
Yasemwayo yapooYanga tuschien timu yetu na kuanza kutuzushia uongo mfumo wa sasa hauwezi kulets mpasuko unaosema
Mikia walinishangaza sana eti wanajiona ma giantsWako hoi.mikia FC.
Ila Manara, ameikosea Club, asisahau huko alikofikia ni Simba ndiyo iliyomfikisha, nani alikua anamjua Haji, kabla ya kuwa msemaji wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cairo tunaenda, na mtajazana vibanda umiza kuona Simba anacheza na Al ahly makundi klabu bingwa.
Pesa ya Mo inawauma Yanga sijui kwa nini?