Unstate Bug
Member
- Aug 16, 2015
- 82
- 88
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea, FC Barcelona
Bongo bora ushabikie akina amberuty lakn sio hiz timu
Jerry muro alitoka Yanga kimepungua nn mkuu?...mambo haya hapa kwetu ni kawaida kabisa, soka letu hamjalizoea tuKwa alivyoongea Manara press ya mwisho, ni wazi kuna kitu
Wameamua tu kulikuza hili la ManaraJerry muro alitoka Yanga kimepungua nn mkuu?...mambo haya hapa kwetu ni kawaida kabisa, soka letu hamjalizoea tu
WOOOIIII HAWA KUPOTEANA KAWAIDA YAO NA BADO NASEMA BADOHabari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..
Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo
Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.
Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.
Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga
mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha majungu kafukieni lile bwawa mbu wanawadhuru wakazi wa kuleHabari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..
Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo
Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.
Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.
Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga
mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mpira wa Simba.Mpira wa bongo wa kifara sana. Kuanzia mashabiki, wachezaji, viongozi hata viwanja, mipira, jezi, viatu navyo vina uduanzi wao ilimradi tu ni bongo.
Hata huu uzi ni waki waki sana. Mashudu matupu.
Hata ile mliopigwa 5 bila tulijazana kushuhudia na jumamõsi tena kuna 5 nyingneCairo tunaenda, na mtajazana vibanda umiza kuona Simba anacheza na Al ahly makundi klabu bingwa.
Simba ipo CAF CL 16 BORA... vp huko jangwani?Hata ile mliopigwa 5 bila tulijazana kushuhudia na jumamõsi tena kuna 5 nyingne
Nyie ndo mliepiģwa 5 kule congo?Simba ipo CAF CL 16 BORA... vp huko jangwani?
Mpira wa bongo wa kifara sana. Kuanzia mashabiki, wachezaji, viongozi hata viwanja, mipira, jezi, viatu navyo vina uduanzi wao ilimradi tu ni bongo.
Hata huu uzi ni waki waki sana. Mashudu matupu.
Tutalifukia tarehe mbili sijui uchungu ukikushika mkunga atakuwa karibu maana kwa hali navyoiona watoto watakuwa Kama wanguruwe [emoji32][emoji41][emoji134]