Mpasuko mkubwa waikumba Simba SC

Mpasuko mkubwa waikumba Simba SC

Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..

Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo

Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.

Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.

Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga

mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes

Sent using Jamii Forums mobile app
WOOOIIII HAWA KUPOTEANA KAWAIDA YAO NA BADO NASEMA BADO
 
Acha majungu kafukieni lile bwawa mbu wanawadhuru wakazi wa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka wana JF baadhi ni kama mpira wa bongo

Mpira wa bongo wa kifara sana. Kuanzia mashabiki, wachezaji, viongozi hata viwanja, mipira, jezi, viatu navyo vina uduanzi wao ilimradi tu ni bongo.

Hata huu uzi ni waki waki sana. Mashudu matupu.
 
Back
Top Bottom