Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka mchukue action za kulete mabadiliko ya dharura kama walivyofanya wanajeshi kule Niger.
Muda wa kuzungumza umekwisha sasa ni wakati wa vitendo. Maneno matupu hayavunji mfupa kana alivyosema kikwete kuwa kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala. Hivyo maneno yenu yanaonekana na watawala kama wafa maji wanaotapatapa
Fanyeni jambo la wazi na la dharura sisi walalahoi ambao hatuna cha kupoteza ila minyororo yetu tutakuwa nyuma yenu
Tutasubiri miujiza na haitakuja aslani. Mwelekeo unaonyesha kizazi chetu kitaendelea kutaabika huku wachache wakiendelea kumega bila soni kilicho chetu. Na watoto wetu tutawarithisha umasikili huu ndani ya nchi yenye neema ya kila kitu.Mimi sijui ni lini miujiza itatendeka katika nchi yetu maana mambo ni mengi sana under normal circumstance hatuwezi kuyafanyia kazi with the same people, the same thinking and the same ideologies. Tunahitaji miujiza!!
nyerere alisema!!!! bora uwe masikini wa mali kuliko masikini wa akili......yaani ufahamu...sasa ccm iko na umasikini wa akili siku zote,nchi hii itachukuliwa na wenyewe tu.
mkubwa, unachoka kabla ya mechi?Pamoja ya yote hayoooooooo uchaguzi mwaka huu wataendelea kushika hatamu!! Nachoka na kulegea kabisa. Nalala.
kwani hawajulikani?Tz wakianza kutajana na majina yao kuwekwa magazetini ndo tutajua kuwa kweli imekuwa tz
Heshima kwako alles, ila cha kukumbuka JF ni zaidi ya habari, hata kama Raiamwema wameitoa habari hii hapa hii pia ni source ya habari. Na unachokijua wewe kupitia JF haina maana kwamba watu wote wana soma JF hivyo sio vibaya kwa raiamwema kufanya walichokifanya kwani bila hivyo wengine wasingepata habari hii.Hakuna jipya kwenye ii news.Hiyo article ilijadiliwa hapa JF wiki mbili zilizopita, ikaonekana haina jipya kwa sababu wahusika hawakuweka majina yao wala saini zao.May be Raia mwema wameichukua ili kuuza gazeti.Kumbe nao huwa wanaokotaokota hata news zisizo na uthibitisho..ni aibu.
kama kuna cha ku miss kutokana na "mpasuko" huo wa CCM basi itakuwa ni minyororo ya UFISADI na UMASKINI waliyotufunga wa tz long time.
Well said ndugu Future-Tanzania tatizo si kuwa viongozi hawajui kuwa watanzania wanataka change la hasha ni ule uroho wa madaraka uliopo kwa viongozi wetu wengi ukitaka kujua kwa nini hawataki kuachia madaraka hivi karibuni angalia wanavyorithishana madaraka wanavyoandaa watoto wao waje wawarithiMimi nafikiri kunakitu kimoja ambacho viongozi wetu, mafisadi na wanaCCM wameshindwa kukitafakari au hawataki kukiamini, na hicho kitu ni kwamba Tanzanians aspect of living have changed and so their aspiration for a change.
Kwanini viongozi wa Tanzania wanashindwa kujua kwamba watanzania are so tired of utawala ambao si bora? Hivi mafisadi na viongozi hawawezi kutambua kwamba Tanzania generation is changing? And so technology? And so Tanzanians are getting wiser and more informed about their right to live, right to have a say in their country and right of equality?
Wanashindwa kuangalia world political histories? Kwamba kwenye utawala ambao si bora na unaowanufaisha watu wachache lazima kutafikia wakati watu wataask for a change? Mfano mzuri history ya Tanzania then Tanganyika inatufundisha kwamba wananchi walichoka na utawala wa ukoloni na what they did? Wakasema liwalo liwe, Nyerere na wengineo walisema we want changes, we want independence and we want equality.
This is exactly what is going now in TZ na hii ni moja ya vitu ambavyo everyone in society and in leadership should know and accept and hence change the way they rule the country about ten years ago. Watu wengi tunashindwa kuelewa kwamba everyone has a boiling point that (s) he cant take anymore whatsoever and so do the Tanzanians who form Tanzania kingdom.
CCM na mafisadi inabidi wajue kwamba now its time to pack and go, they cant not take advantage of this country anymore (just like wakoloni). Tanzanians are wiser than ever and all they need is political, social and economic stabilities which endorse equal opportunities and freedom.
Thanks manTutasubiri miujiza na haitakuja aslani. Mwelekeo unaonyesha kizazi chetu kitaendelea kutaabika huku wachache wakiendelea kumega bila soni kilicho chetu. Na watoto wetu tutawarithisha umasikili huu ndani ya nchi yenye neema ya kila kitu.
Wakati mwingine mabadiliko sio lazima muendelee na mazungumzo kama upande mmoja unajiona bora zaidi na hautaki kuheshimu mawazo ya wengine. Hata matumizi ya nguvu yanaweza kuwa Justified ikiwapo hali hiyo, Huo sio uhaini bali ni kutetea maslahi ya walio wengi. Mbona mapinduzi ya Zanzibar 1964 yanaenziwa? Hata wale walio ong'olewa Zanzibar 1964 walichaguliwa kwa kura.
Well said ndugu Future-Tanzania tatizo si kuwa viongozi hawajui kuwa watanzania wanataka change la hasha ni ule uroho wa madaraka uliopo kwa viongozi wetu wengi ukitaka kujua kwa nini hawataki kuachia madaraka hivi karibuni angalia wanavyorithishana madaraka wanavyoandaa watoto wao waje wawarithi
kitu kingine kinachowafanya waogope changes ni mstakabali wao baada ya uongozi utakuwaje kwa hiyo wanajiandaa jinsi ya kutoka exit strategy yasije yakawarudi kama yalivyomtokea Kaunda na Chiluba wanajua kabisa kuwa hawatakiwi lakini wana take advantage ya wananchi kutokuwa na alternative watu hawana choice ndiyo maana wanairudisha CCM madarakani kila uchaguzi.