Mpasuko mpya CCM

Mpasuko mpya CCM

Mimi sijui ni lini miujiza itatendeka katika nchi yetu maana mambo ni mengi sana under normal circumstance hatuwezi kuyafanyia kazi with the same people, the same thinking and the same ideologies. Tunahitaji miujiza!!
 
Tunataka mchukue action za kulete mabadiliko ya dharura kama walivyofanya wanajeshi kule Niger.

Muda wa kuzungumza umekwisha sasa ni wakati wa vitendo. Maneno matupu hayavunji mfupa kana alivyosema kikwete kuwa kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala. Hivyo maneno yenu yanaonekana na watawala kama wafa maji wanaotapatapa

Fanyeni jambo la wazi na la dharura sisi walalahoi ambao hatuna cha kupoteza ila minyororo yetu tutakuwa nyuma yenu

Haya si tumeyasikia kila siku jamani?
Tumechoka maneno, tunataka wawe jasiri kweli. Actions bana... otherwise hakuna jipya hapa!!!
 
Mimi sijui ni lini miujiza itatendeka katika nchi yetu maana mambo ni mengi sana under normal circumstance hatuwezi kuyafanyia kazi with the same people, the same thinking and the same ideologies. Tunahitaji miujiza!!
Tutasubiri miujiza na haitakuja aslani. Mwelekeo unaonyesha kizazi chetu kitaendelea kutaabika huku wachache wakiendelea kumega bila soni kilicho chetu. Na watoto wetu tutawarithisha umasikili huu ndani ya nchi yenye neema ya kila kitu.
Wakati mwingine mabadiliko sio lazima muendelee na mazungumzo kama upande mmoja unajiona bora zaidi na hautaki kuheshimu mawazo ya wengine. Hata matumizi ya nguvu yanaweza kuwa Justified ikiwapo hali hiyo, Huo sio uhaini bali ni kutetea maslahi ya walio wengi. Mbona mapinduzi ya Zanzibar 1964 yanaenziwa? Hata wale walio ong'olewa Zanzibar 1964 walichaguliwa kwa kura.
 
tatizo la CCM haliwezi kupatiwa ufumbuzi sasa tena kwa muda huu mfupi kabla ya uchaguzi, ili kusafisha chama yapo maamuzi mazito sana inabidi yachukuliwe kwa umakini wa hali ya juu sana, bila hivyo chama kitapasuka zaidi.
kosa kubwa wanalofanya sasa hivi viongozi ni kusafisha wale mafisadi na kuleta suluhu baina ya wale wanaojiita wapiganaji na wale mafisadi...na kujaribu kuwavunja nguvu wanachama wanaonekana wana mwelekeo chanya...
lazima chama kijue kwamba kinafanya makosa kwa kuchukuwa muelekeo uliopo sasa, na itafika hatua kama hawa wanaojiita wapiganaji wakapata ujasiri wakujitoa tukawajua na wakatoa mwelekeo, wengi watawafuata...tatizo nao wamekuwa sio wajasiri na wamekuwa waoga sana.....
 
nyerere alisema!!!! bora uwe masikini wa mali kuliko masikini wa akili......yaani ufahamu...sasa ccm iko na umasikini wa akili siku zote,nchi hii itachukuliwa na wenyewe tu.

Tufike mahali tupambanue kati ya viongozi wa CCM na wanachama wa kawaida wa CCM. Majority ya wanachama wa CCM ni just poor fellas who are trying to fight for survival. Walitumbukia kwenye CCM kutokana na mfumo wa Chama Kimoja wakakishabikia kwa kuwa kilikuwa na dira na misingi thabiti iliyokubalika na Chama kuwalea wote kwa miaka mingi ndani ya umoja na mshikamano. Tuwatusi viongozi wa CCM waliokiuka misingi ya Chama 'chetu' iliyosababisha makundi na mipasuko inayozungumziwa kila siku bila ufumbuzi.
 
Pamoja ya yote hayoooooooo uchaguzi mwaka huu wataendelea kushika hatamu!! Nachoka na kulegea kabisa. Nalala.
 
Mimi nafikiri kunakitu kimoja ambacho viongozi wetu, mafisadi na wanaCCM wameshindwa kukitafakari au hawataki kukiamini, na hicho kitu ni kwamba Tanzanians aspect of living have changed and so their aspiration for a change.

Kwanini viongozi wa Tanzania wanashindwa kujua kwamba watanzania are so tired of utawala ambao si bora? Hivi mafisadi na viongozi hawawezi kutambua kwamba Tanzania generation is changing? And so technology? And so Tanzanians are getting wiser and more informed about their right to live, right to have a say in their country and right of equality?

Wanashindwa kuangalia world political histories? Kwamba kwenye utawala ambao si bora na unaowanufaisha watu wachache lazima kutafikia wakati watu wataask for a change? Mfano mzuri history ya Tanzania then Tanganyika inatufundisha kwamba wananchi walichoka na utawala wa ukoloni na what they did? Wakasema liwalo liwe, Nyerere na wengineo walisema we want changes, we want independence and we want equality.

This is exactly what is going now in TZ na hii ni moja ya vitu ambavyo everyone in society and in leadership should know and accept and hence change the way they rule the country about ten years ago. Watu wengi tunashindwa kuelewa kwamba everyone has a boiling point that (s) he can't take anymore whatsoever and so do the Tanzanians who form Tanzania kingdom.

CCM na mafisadi inabidi wajue kwamba now its time to pack and go, they cant not take advantage of this country anymore (just like wakoloni). Tanzanians are wiser than ever and all they need is political, social and economic stabilities which endorse equal opportunities and freedom.
 
Tz wakianza kutajana na majina yao kuwekwa magazetini ndo tutajua kuwa kweli imekuwa tz
 
Pamoja ya yote hayoooooooo uchaguzi mwaka huu wataendelea kushika hatamu!! Nachoka na kulegea kabisa. Nalala.
mkubwa, unachoka kabla ya mechi?
jipe moyo and do the needful
 
Tz wakianza kutajana na majina yao kuwekwa magazetini ndo tutajua kuwa kweli imekuwa tz
kwani hawajulikani?
1. EL
2. CHenge
3. Rostam
4. Mramba
5. yule jamaa wa usalama sijui anaitwa nani vile
6. mzee wa Buzwagi
7. ......

Huwa tunajifanya tu kwamba hatujui kumbe tunajua vizuri kabisa
 
Hakuna mpasuko wowote waheshimiwa! hawa jamaa wanataka wachanganya watanzania tu. swali la kujiuliza ni kuwa kwanini hwajitokezi hadharani tukawona kama wana uchungu na matatizo ya watanzania? au wamekosa nafasi ndani ya chama?
 
CCM ikija kutoka madarakani nadhani hali itabadirika, maana ni sehemu ya kila kuchuma utajiri.
 
Hakuna jipya kwenye ii news.Hiyo article ilijadiliwa hapa JF wiki mbili zilizopita, ikaonekana haina jipya kwa sababu wahusika hawakuweka majina yao wala saini zao.May be Raia mwema wameichukua ili kuuza gazeti.Kumbe nao huwa wanaokotaokota hata news zisizo na uthibitisho..ni aibu.
Heshima kwako alles, ila cha kukumbuka JF ni zaidi ya habari, hata kama Raiamwema wameitoa habari hii hapa hii pia ni source ya habari. Na unachokijua wewe kupitia JF haina maana kwamba watu wote wana soma JF hivyo sio vibaya kwa raiamwema kufanya walichokifanya kwani bila hivyo wengine wasingepata habari hii.
 
kama kuna cha ku miss kutokana na "mpasuko" huo wa CCM basi itakuwa ni minyororo ya UFISADI na UMASKINI waliyotufunga wa tz long time.
 
kama kuna cha ku miss kutokana na "mpasuko" huo wa CCM basi itakuwa ni minyororo ya UFISADI na UMASKINI waliyotufunga wa tz long time.

Sasa nadhani umefufuka. Kule kwa JK na magufuli ulikuwa bado hujafufuka sawa sawa. Barafrika unaikumbuka?

Karibu duniani Songoro.
 
Wapasuke fasta jamani na hapo hata majina yenyewe nayo yamefichwa hii habari nayo. Mi nimechoka na hizi news kama kweli wanapasuka yaani wafanye bidii mpasuko uende haraka mno
 
Mimi nafikiri kunakitu kimoja ambacho viongozi wetu, mafisadi na wanaCCM wameshindwa kukitafakari au hawataki kukiamini, na hicho kitu ni kwamba Tanzanians aspect of living have changed and so their aspiration for a change.

Kwanini viongozi wa Tanzania wanashindwa kujua kwamba watanzania are so tired of utawala ambao si bora? Hivi mafisadi na viongozi hawawezi kutambua kwamba Tanzania generation is changing? And so technology? And so Tanzanians are getting wiser and more informed about their right to live, right to have a say in their country and right of equality?

Wanashindwa kuangalia world political histories? Kwamba kwenye utawala ambao si bora na unaowanufaisha watu wachache lazima kutafikia wakati watu wataask for a change? Mfano mzuri history ya Tanzania then Tanganyika inatufundisha kwamba wananchi walichoka na utawala wa ukoloni na what they did? Wakasema liwalo liwe, Nyerere na wengineo walisema we want changes, we want independence and we want equality.

This is exactly what is going now in TZ na hii ni moja ya vitu ambavyo everyone in society and in leadership should know and accept and hence change the way they rule the country about ten years ago. Watu wengi tunashindwa kuelewa kwamba everyone has a boiling point that (s) he can’t take anymore whatsoever and so do the Tanzanians who form Tanzania kingdom.

CCM na mafisadi inabidi wajue kwamba now its time to pack and go, they cant not take advantage of this country anymore (just like wakoloni). Tanzanians are wiser than ever and all they need is political, social and economic stabilities which endorse equal opportunities and freedom.
Well said ndugu Future-Tanzania tatizo si kuwa viongozi hawajui kuwa watanzania wanataka change la hasha ni ule uroho wa madaraka uliopo kwa viongozi wetu wengi ukitaka kujua kwa nini hawataki kuachia madaraka hivi karibuni angalia wanavyorithishana madaraka wanavyoandaa watoto wao waje wawarithi

kitu kingine kinachowafanya waogope changes ni mstakabali wao baada ya uongozi utakuwaje kwa hiyo wanajiandaa jinsi ya kutoka exit strategy yasije yakawarudi kama yalivyomtokea Kaunda na Chiluba wanajua kabisa kuwa hawatakiwi lakini wana take advantage ya wananchi kutokuwa na alternative watu hawana choice ndiyo maana wanairudisha CCM madarakani kila uchaguzi.
 
si kupasuka tu - nataka wa Collapse kabisa
kabla ya uchaguzi mkuu - yaani kwa kiswahili chetu- wapate degedege.
 
Tutasubiri miujiza na haitakuja aslani. Mwelekeo unaonyesha kizazi chetu kitaendelea kutaabika huku wachache wakiendelea kumega bila soni kilicho chetu. Na watoto wetu tutawarithisha umasikili huu ndani ya nchi yenye neema ya kila kitu.
Wakati mwingine mabadiliko sio lazima muendelee na mazungumzo kama upande mmoja unajiona bora zaidi na hautaki kuheshimu mawazo ya wengine. Hata matumizi ya nguvu yanaweza kuwa Justified ikiwapo hali hiyo, Huo sio uhaini bali ni kutetea maslahi ya walio wengi. Mbona mapinduzi ya Zanzibar 1964 yanaenziwa? Hata wale walio ong'olewa Zanzibar 1964 walichaguliwa kwa kura.
Thanks man
 
Well said ndugu Future-Tanzania tatizo si kuwa viongozi hawajui kuwa watanzania wanataka change la hasha ni ule uroho wa madaraka uliopo kwa viongozi wetu wengi ukitaka kujua kwa nini hawataki kuachia madaraka hivi karibuni angalia wanavyorithishana madaraka wanavyoandaa watoto wao waje wawarithi

kitu kingine kinachowafanya waogope changes ni mstakabali wao baada ya uongozi utakuwaje kwa hiyo wanajiandaa jinsi ya kutoka exit strategy yasije yakawarudi kama yalivyomtokea Kaunda na Chiluba wanajua kabisa kuwa hawatakiwi lakini wana take advantage ya wananchi kutokuwa na alternative watu hawana choice ndiyo maana wanairudisha CCM madarakani kila uchaguzi.

Luteni, uyasemayo ni yakweli kabisa, ila jambo la kujiuliza na kutafakari je watanzania bado tu wajinga wa kukubali mambo ya kurithiana uongozi wa nchi ya kwetu wote? na je watanzania bado wajinga wa kukubali kupelekeshwa na wachache? Na kama sivyo je mafisadi watafanyaje kumake their exit strategies work?
 
Back
Top Bottom