kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana.
Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips, kupika supu, kukaanga mihogo kandokando mwa barabara zetu za lami zilizojengwa kwa bei kubwa. Viongozi kama Hawa wanamwangusha Rais na sisi kwa pamoja.
Kiongozi ambae hawezi kupanga miji na kuachia watu wajijengee kiholela alipatikaje?
Kiongozi anaesubiri maagizo kutoka juu yake hata kwa kwa vitu vilivyo rahisi kwake kuifanya sio tu ni mzembe lakini hatuafai, na aliyemleta kwenye utumishi wa uma Mungu amlani na kizazi chake.