Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana.
Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata2, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips, kupika supu, kukaanga mihogo au kukaanga mihogo kandokando mwa barabara za lami zilizojengwa kwa bei kubwa. Viongozi kama Hawa wanamwangusha Rais na sisi kwa pamoja.
Kiongozi ambae hawezi kupanga miji na kuachia watu wajijengee kiholela alipatikaje?
Kiongozi anaesubiri maagizo kutoka juu yake hata kwa kwa vitu vilivyo rahiri kwake kuifanya sio tu ni mzembe lakini hatuafai
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana.
Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata2, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips, kupika supu, kukaanga mihogo au kukaanga mihogo kandokando mwa barabara za lami zilizojengwa kwa bei kubwa. Viongozi kama Hawa wanamwangusha Rais na sisi kwa pamoja.
Kiongozi ambae hawezi kupanga miji na kuachia watu wajijengee kiholela alipatikaje?
Kiongozi anaesubiri maagizo kutoka juu yake hata kwa kwa vitu vilivyo rahiri kwake kuifanya sio tu ni mzembe lakini hatuafai
Akili za aina hiyo ndizo alizokuwanazo JPM zilizosababisha tume kuwaengua wagombea wa vyama vingine ili kuipunguzia CCM bajeti ya kupiga kampeni. Hebu kuweni na akili zinazolisaidia taifa zima. CCM kuomba fedha za kuendesha uchaguzi ni dalili njema kwa upinzani, maana ni ishara kuwa wagombea wa upinzani safari hii hawataenguliwa kama tulivyozoea.Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?
Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu
Uchungu wa Wananchi ndio watu gani? Nipe mifano.Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana.
Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips, kupika supu, kukaanga mihogo kandokando mwa barabara zetu za lami zilizojengwa kwa bei kubwa. Viongozi kama Hawa wanamwangusha Rais na sisi kwa pamoja.
Kiongozi ambae hawezi kupanga miji na kuachia watu wajijengee kiholela alipatikaje?
Kiongozi anaesubiri maagizo kutoka juu yake hata kwa kwa vitu vilivyo rahisi kwake kuifanya sio tu ni mzembe lakini hatuafai, na aliyemleta kwenye utumishi wa uma Mungu amlani na kizazi chake.
Wataibaje wakikaa wenye.akiliHaiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana.
Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips, kupika supu, kukaanga mihogo kandokando mwa barabara zetu za lami zilizojengwa kwa bei kubwa. Viongozi kama Hawa wanamwangusha Rais na sisi kwa pamoja.
Kiongozi ambae hawezi kupanga miji na kuachia watu wajijengee kiholela alipatikaje?
Kiongozi anaesubiri maagizo kutoka juu yake hata kwa kwa vitu vilivyo rahisi kwake kuifanya sio tu ni mzembe lakini hatuafai, na aliyemleta kwenye utumishi wa uma Mungu amlani na kizazi chake.
Samia yuko makini sana, hata kama ana mapungufu yake lakini dhamira yake unaweza kuisoma bila usaidizi wa chombo chochote. Uhai na ustawi wa binadamu yeyote unategemea Oxygen, maji na chakula kabla ya kitu chochote. Huyu mama huyu anaweka sawa mambo ya maji na chakula kwa nguvu zake zote. Wakati anahangaikia habari za kupata nishati safi ya kupikia kwa kila mtanzania, automatically anakuwa anahangaikia upatikanaji wa Oxygen kwa watanzania. Hewa, maji na chakula ndiyo kitu ambacho Bw. Abraham Maslow's alichokiita "the physiologic need".Kama wasaidizi wa sa100 hawana uwezo likewise aliyewateua naye ni mule mule, wahenga walisema...ndege wafananao huruka pamoja!!.
mfano wa watu wanaomsaidia Rais ni kama Aweso, Bashe na Makonda. Hawa jamaa wanalala na kuamka na kero za watanzania. Wanajiamini kubuni na kutenda bila kujali watapata adhabu au watasifiwa na mamlaka ya uteuzi. Watakosea wakiwa na dhamira ya kutatua kero. Watajieleza kwanini walikosea na wanamweleza mkuu kile wanachotaka kufanya badala ya kusubiri kupewa nini cha kufanya kesho.Uchungu wa Wananchi ndio watu gani? Nipe mifano.
Mwisho mbona unasisahulisha sana ,ni kina nani hao waliokuwa na uchungu na Wananchi? Je wale waliogeuza Barabara ,Mitaa nk masoko ya machinga walikuwa wanajenga Barabara au wanaharibu?
Nataka kujua wenye uchungu na Wana Nchi ni kina nani?
Wananchi wengi wako wilayani. Hivyo mkuu wa wilaya lazima awe mtu kwelikweli anaekerwa na shida za wananchi, awe mtu kwelikweli wa mipango inayowaondelea watu umaskini, njaa na chakula. Sijui nani anamshauri Rais watu wa hovyohovyo. Ni heri waziri awe wa hovyo lakini Mkuu wa wilaya awe mtu makiniSi ndiyo wanaomshauri kuwapiga chini wahuni?