Mpe nafasi huyu, nakuhakikishia hatakuangusha

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
NAOMBENI NAFASI YA KAZI YA CUSTOMER SERVICE AGENT KWENYE SECTOR YOYOTE...

AU *FRONT OFFICE AU

CALL CENTER
...SEKTA YOYOTE ILE...

Ikiwa sector ya TOURISM AND HOSPITALITY nayo sio mbaya...

NAOMBENI TAFADHALI...*

CONNECTION NA EXPERIENCE VINANIKOSESHA KAZI KILA NIKIOMBA SEHEMU...

ILA NINAJIAMINI MNO KUHUSU UBORA WANGU WA KUTOA HUDUMA KWA WATEJA...

SINA PROVEN EXPERIENCE, kwa sababu sijapata hata hiyo proven position ya kuzaja sehemu ya Experience...ILA KWA UWEZO WANGU NA PASSION YA KAZI...

NINA IMANI UTAPATA FEEDBACK NZURI KUTOKA KWA WATEJA WAKO UKINIPA NAFASI KWENYE BIASHARA YAKO

nipe hata mwezi mmoja wa kuniangalia kujiridhisha...TAFADHALI...

Nina ELIMU YA Bcom. Tourism and Hospitality| UDSM

.

MAWASILIANO NI 0627410088/0753800088
 
Kitu gani kinakupa kujiamini kuwa unauwezo wa haya unayoyaelezea??
 
Proven position ndio position gani kijana.
Alafu Jifunze kuandika.
 
Itafute infinity ♾️ communication sahizi wapo pia kwenye upangishaji Wa majumba. Makaomakuu Yao yapo urusio street
 
Proven position ndio position gani kijana.
Alafu Jifunze kuandika.
Ñamaanisha sehemu inayotambulika na kuheshimika ambayo itatambulika kama sehemu sahihi ya proven experience.

Hata hivyo bado najifunza...nitashukuru zaidi nikipata muongozo wako kwenye kuandika, itanisaidia sana.
 
Back
Top Bottom