Mpe ushauri anaeenda kujaribu kuvaa viatu vilivyokushinda

watu wengi wanaongelea utani ila kiuhalisia haya mambo hayana formula unaweza wewe ukabreak kwa sababu fulani lakini upande wa pili sababu hiyo hiyo ndio ikawaonganisha wenzio (wakamatch)
 
Mpe ushauri mtu anaeanza mahusiano ya kimapenzi na Ex wako muda huu.

Nini afanye?

Tahadhari gani achukue

Kwa upande wangu namtahadharisha jamaa awe anaficha wallet yake mda wote.....
Asikubali kukaa naye mbali hata siku moja.
 
Ajiandae kununua kurunzi kummulkia ucku coz ni cheusdawa sema wa kun'gara na awemvumiliv kusutwa kwa maneno ya kanga&taarabu kiujumla ngwimba ni Mwajuma Nichokoneo..kidding
 
Yaani namwonea huruma sana tena mtu mwenyewe ni kina Igwe aiseee ataipata sometimes natamani nimsamehe kweli mpenzi wangu ila nikikumbuka mechi yake mie hoiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…