park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,923
- 7,048
Hapo ndo nashangaa hao wanaume walikuw kwnye relationship na nani!!?Yaani ni wanamume tu ndo wametoa comments zao as wanawake hawana ma Expired ones wao[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo nashangaa hao wanaume walikuw kwnye relationship na nani!!?Yaani ni wanamume tu ndo wametoa comments zao as wanawake hawana ma Expired ones wao[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Awe makini na marinda yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Wajiandae kulia kilio cha mbwa koko
Natania tu sio kila mtu ni ex, ex wangu ni mwanaume mzuri sana ,anajua kupenda,kujali thamani ya mtu,so atakaevaa viatu vyangu atafaidi sana tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini?
Atakayevaa viatu vyako atafaidi sana kwa kweliNatania tu sio kila mtu ni ex, ex wangu ni mwanaume mzuri sana ,anajua kupenda,kujali thamani ya mtu,so atakaevaa viatu vyangu atafaidi sana tu
Yap mi mwenyewe nilipuyanga mamboAtakayevaa viatu vyako atafaidi sana kwa kweli
Ushauri wangu Kama hawezi kupiga bao tatu kila siku bora haachie ngazi
Asikubali kukaa naye mbali hata siku moja.Mpe ushauri mtu anaeanza mahusiano ya kimapenzi na Ex wako muda huu.
Nini afanye?
Tahadhari gani achukue
Kwa upande wangu namtahadharisha jamaa awe anaficha wallet yake mda wote.....