Hapo ndo nashangaa hao wanaume walikuw kwnye relationship na nani!!?
Namtakia kila la kheri kuwa na mwanaume mwenye majivuno na dharau yataka moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubwa lililokuwa lina nikwanza dharau kuzarauliwa kuna uma hatari na mtu mwenye majivuno mengi ana kera ila kubwa dharau na kiburi
Oh mama unatumia your real ID. Hii ni hatari fire... badilisha ID bhana nakuonea huruma. we are not safe here with our real Id’s[emoji23][emoji23]khaa,wewe kiboko.
Nilisoma SUA
Aseeehh!! That's shows how much you still love and care about him..safi sanaAsijishaue sana maana soon mwenye nyumba narudi
Hahaha... wacha nikae kimya...
Lakini Kuna wengine hawabadiliki kitabiaI hope huu ushauri sio kila anaetoka na ex utamfaa.
Inawezekana kwako au kwangu vimeshindikana na visa vilikuwa vingi simply tu kwa sababu chemistry yenu haikuwa kubwa atayekuwa nae wanaeza wakaendana na wasishindwane
Duuh ahahahaMimi namwambia mwanamke mwenzangu akae kwa kumwangalia jamaa kwa jicho la tatu.
la sivyo atajikuta hata mama yake mzazi na wadogo zake wote kawalamba.
Nawatakia kila la kheri
Mimi namwambia mwanamke mwenzangu akae kwa kumwangalia jamaa kwa jicho la tatu.
la sivyo atajikuta hata mama yake mzazi na wadogo zake wote kawalamba.
Nawatakia kila la kheri