Mpe ushauri anaeenda kujaribu kuvaa viatu vilivyokushinda

Mpe ushauri anaeenda kujaribu kuvaa viatu vilivyokushinda

[emoji23][emoji23]khaa,wewe kiboko.
Nilisoma SUA
Oh mama unatumia your real ID. Hii ni hatari fire... badilisha ID bhana nakuonea huruma. we are not safe here with our real Id’s



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi namwambia mwanamke mwenzangu akae kwa kumwangalia jamaa kwa jicho la tatu.
la sivyo atajikuta hata mama yake mzazi na wadogo zake wote kawalamba.
Nawatakia kila la kheri
 
I hope huu ushauri sio kila anaetoka na ex utamfaa.
Inawezekana kwako au kwangu vimeshindikana na visa vilikuwa vingi simply tu kwa sababu chemistry yenu haikuwa kubwa atayekuwa nae wanaeza wakaendana na wasishindwane
Lakini Kuna wengine hawabadiliki kitabia
 
Mi namshauri tu awe anambadilishia line mara kwa mara, kwakuwa najua tumeachana viwiliwili hatujaachana mioyoni. Ipo siku atarudi tena kwangu.
 
Back
Top Bottom