Nandipa alifuata pesa hata hizo kampuni kafunguliwa na ThaboKumbuka Nandipha alikua na ndoa yake .na watoto 2 ..watoto akawapeleka boarding kabla ya kutoroka na Thabo na mumewe ndo huyo "Magudumana" ... wanawake wenginr wanapendaga bad boys .nadhani na Nandhipha kaangukia hapa kwa mhuni Thabo🙌
Huko ndo kucheza karata vizuri Mkuu. Unachungulia fursa zilipoSouth Africa ni failed state , hii inaonyesha failure ya mtu mweusi kujiongoza , mpaka wapuuz masikini wa kutupwa kama ukoo wa akina Gupta wanatoka kwao India wanakuja kutajilikia South Africa na kuwa mabilionea Kwa kuplunder nchi wakisaidiwa na criminals kama akina zuma nk, yet South Africa bado ina kundi kubwa la uhalifu ,miundo mbinu mibovu , kundi kubwa la masikini wa kutupwa
Nandipha amejijenga since hajakutana na thabo search utaonaNandipa alifuata pesa hata hizo kampuni kafunguliwa na Thabo
Haipo! Never.....ana watu nyuma wazito...never....Thabo nae atang'ata shuka muda si muda
Haipo! Never.....ana watu nyuma wazito...never....
Kesi hii inagusa maslahi ya watu wengi ndani ya Serikali, hususani Jeshi la Huduma za Magereza(Correctional Services), hivyo, ili kuizima kusudi watu wakubwa wanusurike ni lazima ifanyike "clean up" ya nguvu sana. Watu wengi wenye infos za mchongo mzima wa deal hilo watakuwa eliminated, we've to expect another Serial Killing phase.Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Hee....soma vizuri commentAtang'ata shuka wewe ndio unamuua? Jinga sana
Wa pili huyuHuko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Sure. Hata hao bush lawyers na waandishi wa mchongo watalia soon. Hii kitu inapaswa kuzimwa kabla ya Uchaguzi 2024 ili Chama tawala wapite bila kupingwa.Kesi hii inagusa maslahi ya watu wengi ndani ya Serikali, hususani Jeshi la Huduma za Magereza(Correctional Services), hivyo, ili kuizima kusudi watu wakubwa wanusurike ni lazima ifanyike "clean up" ya nguvu sana. Watu wengi wenye infos za mchongo mzima wa deal hilo watakuwa eliminated, we've to expect another Serial Killing phase.
Hee....soma vizuri comment
Wapi nimeshabikia?? Hebu soma uelewe...Swala la kufa mtu usishabikie
Achana naye ana wenge huyo kachanganya files kwenye quotation. Alilenga kumquote huyo uliyemquote weweWapi nimeshabikia?? Hebu soma uelewe...
uwe hodariAchana naye ana wenge huyo kachanganya files kwenye quotation. Alilenga kumquote huyo uliyemquote wewe
YAani dah....angejua mie ni team thabo bester jamaa ni very geniusAchana naye ana wenge huyo kachanganya files kwenye quotation. Alilenga kumquote huyo uliyemquote wewe
[emoji16][emoji16][emoji16]tena Mrs wake kabisa!YAani dah....angejua mie ni team thabo bester jamaa ni very genius