Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

South Africa ni failed state , hii inaonyesha failure ya mtu mweusi kujiongoza , mpaka wapuuz masikini wa kutupwa kama ukoo wa akina Gupta wanatoka kwao India wanakuja kutajilikia South Africa na kuwa mabilionea Kwa kuplunder nchi wakisaidiwa na criminals kama akina zuma nk, yet South Africa bado ina kundi kubwa la uhalifu ,miundo mbinu mibovu , kundi kubwa la masikini wa kutupwa
 
Kumbuka Nandipha alikua na ndoa yake .na watoto 2 ..watoto akawapeleka boarding kabla ya kutoroka na Thabo na mumewe ndo huyo "Magudumana" ... wanawake wenginr wanapendaga bad boys .nadhani na Nandhipha kaangukia hapa kwa mhuni Thabo🙌
Nandipa alifuata pesa hata hizo kampuni kafunguliwa na Thabo
 
South Africa ni failed state , hii inaonyesha failure ya mtu mweusi kujiongoza , mpaka wapuuz masikini wa kutupwa kama ukoo wa akina Gupta wanatoka kwao India wanakuja kutajilikia South Africa na kuwa mabilionea Kwa kuplunder nchi wakisaidiwa na criminals kama akina zuma nk, yet South Africa bado ina kundi kubwa la uhalifu ,miundo mbinu mibovu , kundi kubwa la masikini wa kutupwa
Huko ndo kucheza karata vizuri Mkuu. Unachungulia fursa zilipo
 
Thabo nae atang'ata shuka muda si muda
 
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)

Kesi hii inagusa maslahi ya watu wengi ndani ya Serikali, hususani Jeshi la Huduma za Magereza(Correctional Services), hivyo, ili kuizima kusudi watu wakubwa wanusurike ni lazima ifanyike "clean up" ya nguvu sana. Watu wengi wenye infos za mchongo mzima wa deal hilo watakuwa eliminated, we've to expect another Serial Killing phase.
 
Wa pili huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi hii inagusa maslahi ya watu wengi ndani ya Serikali, hususani Jeshi la Huduma za Magereza(Correctional Services), hivyo, ili kuizima kusudi watu wakubwa wanusurike ni lazima ifanyike "clean up" ya nguvu sana. Watu wengi wenye infos za mchongo mzima wa deal hilo watakuwa eliminated, we've to expect another Serial Killing phase.
Sure. Hata hao bush lawyers na waandishi wa mchongo watalia soon. Hii kitu inapaswa kuzimwa kabla ya Uchaguzi 2024 ili Chama tawala wapite bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom