Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Unajua Dr Magudumana alifanikisha kuingiza maiti jela ili kufake kifo cha Thabo.Hapa wanaofanikisha mauaji ni wale waliofanikisha akatoroka maana Wana la kujibu ,halafu hii haimaanishi kuwa Kuna vigogo nyuma SA askari wanapenda sana hela kama aliwapa 100000 rand mbona wanafanikisha Dili
Una maanisha .....Waliowakamata Tz nao wasikae kiboya. Huu ni mtandao mzito inaonyesha. Watatembeza chuma, hakuna atakayetaka kuendeleza hiyo kesi tena.
Upo?? Habari za miaka mingi Mkuu😁😜1. Unajua Dr Magudumana alifanikisha kuingiza maiti jela ili kufake kifo cha Thabo.
2. Walifikaje TZ toka SA?
Mkuu yaani mil 12 tu urisk maisha kwa kumtorosha mfungwa?Hapa wanaofanikisha mauaji ni wale waliofanikisha akatoroka maana Wana la kujibu ,halafu hii haimaanishi kuwa Kuna vigogo nyuma SA askari wanapenda sana hela kama aliwapa 100000 rand mbona wanafanikisha Dili
Kesi yake ipoje? Wemgine ndio tunatoka kubuna mpunga huku tumepitwa na mengi
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Jela za south zimebinafsishwa kama viwanda vya korosho....ni maaskari wa G4S walipitisha....swala la kutoka SA ni mara 2 ya wanigeria wanaoingia na Hadi mabomu..au hujui Hamna visa kuingia au kutoka ni Gamba lako Tu...na jamaa alikua na passport za kutosha...cha kujiuliza hizo dili za pesa jela alifanya na kundi gani maana organized crime south kama Brazil....Wana nguvu kama serikali1. Unajua Dr Magudumana alifanikisha kuingiza maiti jela ili kufake kifo cha Thabo.
2. Walifikaje TZ toka SA?
Naifatilia hii kesi..very sensitive aise ..nyie connection ndo kila kitu...Thabo ni mnomaHallo !
Mrs Thabo Bester 😊
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Na inasemekana Thabo ni mshikaji pia wa Zuma kifupi jamaa yuko njema sana ..last two weeks aliappear court akiwa kwenye a very èxpensive jacket..jamaa alipokua ndan alikua anaenda kula life kwenye macasino kwa rahq zake .kifup kesi yake inasisimua vibaya mnoKesi Ina mkono wa vigogo serikalini wanawachek hao wanaojidai wapenda haki
Never ana connection za juu 💸Mbakaji atauawa kihuni
Never ana connection za juu 💸Mbakaji atauawa kihuni