Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

Hapa wanaofanikisha mauaji ni wale waliofanikisha akatoroka maana Wana la kujibu ,halafu hii haimaanishi kuwa Kuna vigogo nyuma SA askari wanapenda sana hela kama aliwapa 100000 rand mbona wanafanikisha Dili
1. Unajua Dr Magudumana alifanikisha kuingiza maiti jela ili kufake kifo cha Thabo.
2. Walifikaje TZ toka SA?
 
Kesi yake ipoje? Wemgine ndio tunatoka kubuna mpunga huku tumepitwa na mengi
Screenshot_20230606-002402.jpg
 
1. Unajua Dr Magudumana alifanikisha kuingiza maiti jela ili kufake kifo cha Thabo.
2. Walifikaje TZ toka SA?
Jela za south zimebinafsishwa kama viwanda vya korosho....ni maaskari wa G4S walipitisha....swala la kutoka SA ni mara 2 ya wanigeria wanaoingia na Hadi mabomu..au hujui Hamna visa kuingia au kutoka ni Gamba lako Tu...na jamaa alikua na passport za kutosha...cha kujiuliza hizo dili za pesa jela alifanya na kundi gani maana organized crime south kama Brazil....Wana nguvu kama serikali
 
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)

Kifupi thabo ni mafia grade 1! Na demu wake soon ataachiwa...pesa pesa plus akili tu ya maisha
 
Kesi Ina mkono wa vigogo serikalini wanawachek hao wanaojidai wapenda haki
Na inasemekana Thabo ni mshikaji pia wa Zuma kifupi jamaa yuko njema sana ..last two weeks aliappear court akiwa kwenye a very èxpensive jacket..jamaa alipokua ndan alikua anaenda kula life kwenye macasino kwa rahq zake .kifup kesi yake inasisimua vibaya mno
 
Back
Top Bottom