Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
Kama hujasoma chuo kinachotambulika hutakiwi kujipa sifa usiyonayo. Vinginevyo kila mtu angeanzisha chuo chake na kujipa digrii au vyeti anavyotaka. Fikiria kabla ya kuzungumza na kuanika unayoyafikiria kadamnasini.Tunachotaka ni accredited Kichwa si accredited chuo. Kichwa kinachosoma kwenye accredited chuo na kazi yake ni kubeba makarai tu kitakusaidia nini?