Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

Kwani hamkupata connection? maana wapinzani wamechelewesha sn
 
Kuweni na Subra Maji yatatoka Lake Victoria hadi Dodoma bado tunawaomba ndugu zetu Misri wakubali sababu ni yao.
 
Kuweni na Subra Maji yatatoka Lake Victoria hadi Dodoma bado tunawaomba ndugu zetu Misri wakubali sababu ni yao.
Watasubiri mpaka Yesu Kristo arudi maana Mwanza kwa Wasukuma wapiga kura hakuna maji, Mara pembeni mwa ziwa wanalia maji, Geita inakojengwa bandari ya kimataifa maji shida tupu labda wakazi wa Dodoma wahamie Shinyanga au Tabora vinginevyo wafuate upepo, ukivuma toka Chato wahamie huko, upepo ukitoka Dar pamoja na wa Kigamboni mita chache toka Ikulu wanalia shida ya maji, unganeni nao. Madege hayawezi kugeuzwa matangi ya maji kama ya mafuta?
 
aisee dom imekua hivyo.? miaka flan tupo owa mjomba area c 92 mbona maj yalikua matam tu
has the issue be serious like that?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuza jambo, mbona pale Dom town maji safi tu....Vinginevyo labda ni wageni....au kuna mitaa itakuwa na matatizo...angesema maeneo tuyajue.
 
Desalination plants kubwa zingeondoa upungufu wa maji kwa sehemu za serikali,maeneo ya watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…