National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Au imefika asubuhi nilipita pale getini ofisini kwako nikaona gari kama hiiWacha hizo wewe[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au imefika asubuhi nilipita pale getini ofisini kwako nikaona gari kama hiiWacha hizo wewe[emoji1787][emoji1787]
Uweeeeeh!!!!Au imefika asubuhi nilipita pale getini ofisini kwako nikaona gari kama hiiView attachment 2357858
🤠🤠🤠🤠 Aah! Uzuri hakuna mwanamke maskini fumba na kufumbua GSM huyo kaleta posa 😂😂😂Uweeeeeh!!!!
Life haijanifikisha hapo Buroooh![emoji3]
Prado Hilo txBado umekosea mno.
Ni toyota yenye siti saba huku kwetu uswazi tunajibanabana tunakaa watu 10.
Kwa hilo tako la nyani mjomba anapewa vyote anamwaga mpaka ubongoSiyo Nissan.
Ni toyota.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] Aah! Uzuri hakuna mwanamke maskini fumba na kufumbua GSM huyo kaleta posa [emoji23][emoji23][emoji23]
🤠🤠🤠 Tunaanza kukuona leo una hii kesho una ile..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakusubiri.
Itapendeza kesho tukapate biriani.
Zee umeumia eee.. Unapiga TZ 11 alafu huyo unayemwita dogo anahongwa kausafiriIla ww dogo ni mshamba kweli kweli dah mademu bhana...
Kumbe Alphard sio ghali sana nilikuaga nahisi lina bei kweli kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Hapana.
Ni alphard bana.
Muache mjomba afaidi 😋Marufuku kumbania mjomba...
Misamba kama yote.
Hii id naifananisha au basiHongera sana mjomba kwa kwa zawadi ya shangazi ya amu
Kama mjomba nasema no usilete balaa huku.Woooooooooowwwwww!!!!!!!
Shangaziiii naomba nije kukusaidia kuizindua. Mpe hongera sana mjombaaa kwa kukujali na kukupenda kweli.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]