Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Kwani huyu binti anakuchukuliaje mpaka akwambie kwamba ametiwa?halaf kama hii stori ni ya kweli huyo anampenda sana jamaa na hajiwez kwake na atakuwa anarudi kwa jamaa kila jamaa atakapomuhitaji
itamuuma lakini huu ndiyo ukweli
 
Haha imetoka moyoni uvunguni kabisa. Saivi sikatai salam warembo hasa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kunijaza uko na ubibi gagula huu na urembo wapi na wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unapata nguvu gani ya kumsindikiza mpenzi wako kwa ex wake eti akampe makavu makavu yapi kuna wanaume wapole sijui kama mleta mada yaani hata sijui nimuweke kundi gani
Yaani kama ni kweli na sio chai Dada basi huyu jamaa huko mbeleni atapata tabu sana.

Maana usije shangaa siku nyingine wakaja peana makavu geto kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah! I feel the pain mkuu,ingeniuma sana nisingesahau kamwe aisee,u did wrong kumwacha aende alone kwa jamaa.

Pole sana.
 
itakuwa humtoshelezi huyo demu...

na siku nyingine umkumbushe...kumsindikiza kwa x[emoji16]
 
Yaani kama ni kweli na sio chai Dada basi huyu jamaa huko mbeleni atapata tabu sana.

Maana usije shangaa siku nyingine wakaja peana makavu geto kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asisahau tu kutuletea thread sisi tupo yajayo yanafurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…