Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

teh teh nimecheka sana,
kama ni kweli basi umeshafeli kwa huyo binti, muache tu taratibu aendelee na jamaa.
 
Mfyuuuuu zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushajazwa ukooo na umejazika kweli na shunie wako uliyemuunda
Wadanganye hao sio mimi. Mimi najua wewe ni kisu over
 
Hata wewe ni hawara yako tu kwa hiyo wala sishangai mpaka akuambie yote maana anajua akiondoka ataenda kwa mwingine
Nasubiri part 2
 
Back
Top Bottom