Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Ungekuwa jogoo nuns uhakika mambo yasingefika huko, lakini kwa vile wewe ni mtoto wa kuku hakukuwa na namna.
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Sijui nicheke sijui ni puuze ama ...anyway kwa hiyo ndo ikawa ivo cyo
 
Walikua wanachezea picha tuu ili uone hawawez kua tena wote, sema dem mjinga kukuambia ukweli
 
Back
Top Bottom