Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Kweli wewe ni kukumdogo; huwezi lolote kwa jogoo!!!

Ulikosea sana kumpeleka kwa x wake.
Kumbuka x wake anajua udhaifu wake. Hivyo matusi ya dem hayawezi kumuumiza na yataisha nguvu alivyokula mzigo tena.

Blem yourself.
 
Bado kidogo aachane na wewe amuunge jamaa mkono.kwani huyo jamaa kabadilika sana kaziba mianya ya upigaji yote
 
Hahaha haha huyo demu kicheche tu jamaaaa
 
Back
Top Bottom