Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Sitoacha kuwaambia wanaume mtusome vizuri wanawake hamtufahamu kabisaaa jamani mwanamke haaminiki kirahisi namna hii chonde chonde" et ana misimamo" dooh.. haya kaka pole ila umeyataka mwenyew na hapo nikwambie tu hupendwi mwanamke angekua anakuoenda asingefanywa tena na kuja kukwambia wazi..pia zipo option nying za kumpotezea mtu mfano kumblok sio had umfuate
 
Umenifundisha kitu. Asante
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Nimecheka sana eti katiwa[emoji23] na wewe ume fail sana mkuu.utamsindikizaje dem kwa x wake
Ungefanya hivi
1.mwambie am block
2.adownload app ya kuzuia kupigiwa na namba ngeni
 
Nimemuacha sijisikii kabisa kuwa nae bora nipe hiyo app nimbock yeye.
 
[emoji16][emoji16]sijui mliwaza nini hadi mkasindikizana.
Pole mkuu
Ila hakunaga anayefungiwa safari ili kukatazwa kuacha mawasiliano
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Nimecheka kwa sauti
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom