Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Hahahahahahahaaaaaa aisee, well done, siku nyingine usiende na mkeo "kumchamba" shoga yake, ila huyo aliyemegwa we achana naye maana kama kamegwa ukiwepo atamegwa sanaaaa usipokwepo
 
The level of stupidity in your head is baffling.
And I thought I was stupid.
Estupido!!
 
ni.kosa kuruhusu ukaribu wa maX kwa namna yoyote ile
 
Tucheke ndugu yangu maana dunia haijawahi kuisha vituko.

Na weza kuta alivyotaka kutoka na busu alipewa la kuondokea. Huku zoba kabaki kwenye gari anapigwa na jua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umefanya hadi nimepaliwa na maji kwa kucheka Hajar

Hivo wala hamumuonei huruma na kumpa pole?😀😀😀
 
Kwa story kama hizi na nyinginezo,piga nyota moja nne sita alama ya reli ok
 
Na wewe si ungeenda au kama haiwezekani ungemkataza huyo kipenzi chako asiingie.

Uwage unajiongeza bana.
Unatamani umtie masinki kabisa😀😀😀

Najiuliza hiyo sinema aliyochezewa hapo ilikuaje? Yaani watu wanazozana nje kwa sauti halafu wanaingia ndani sauti zinapotea

Wee mpenzi msikilizaji upo tu umebung'aa au ulikua unasubiri upate ushahidi kua kweli jamaa anamkula demu

Tena wasema ulienda na gari pengine wakati mchezo umekolea ukatambulishwa kua ni dereva wa baba au wa ofisini
 
Back
Top Bottom