Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mi siwezi kurupuka kufanya maamuzi.sababu nna nia ya kweli.
Sasa nkimbana aseme anadai bado ana nia
Mi aniambie tu kama hana nia.nasepa
Hapana shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio we unasubiri kuambiwa usiyopenda kuyasikia toka kwa mwanaume? Ni kichaa pekee atakaeweza kukwambia huo ukweli mchungu...inshort utasubiri sana kuambiwa hana nia na wewe huku ukipata maumivu ya kukaangwa na kuchemshwa moyo wako!
 
Hahah af mkija humu mnajikaza kikomando wengine mkidai ni wake za watu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ jf raha sana!
 
Kwanza jamaa inaezekana kaoa kabisa an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…