Ahsante sana
aggyjay uzi wako umenisaidia sana kiukweli nimepata majibu nilikuwa nataka, nipo in the same situation,
Mie pia hatujawahi hata onana ila hivi recently mabadiliko ni ubize uliokubuhu.!! Niliwahi ondoka lakini akagoma anasema ni majukumu nisiondoke.! Na akanilaumu sana why nakuwa sina uvumilivu while mwenzie hapo nimevumilia to the last drop.. Nilivyo mpuuzi nikarudi tena ila sahivi things have become more worse.!
Hapa I texted him since satano nimemuambia tu awe mkweli mbona nitaenda bila tatizo maana nishajiandaa kisaikolojia kuwa that love has already faded away.!!
Hajajibu mpaka sasa.!! Haha' nacheka kama mazuri.!!
Woooiii' tujiondokee zetu hebu.!! We're better than that.!!