Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mi siwezi kurupuka kufanya maamuzi.sababu nna nia ya kweli.
Sasa nkimbana aseme anadai bado ana nia
Mi aniambie tu kama hana nia.nasepa
Hapana shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio we unasubiri kuambiwa usiyopenda kuyasikia toka kwa mwanaume? Ni kichaa pekee atakaeweza kukwambia huo ukweli mchungu...inshort utasubiri sana kuambiwa hana nia na wewe huku ukipata maumivu ya kukaangwa na kuchemshwa moyo wako!
 
Ahsante sana aggyjay uzi wako umenisaidia sana kiukweli nimepata majibu nilikuwa nataka, nipo in the same situation,
Mie pia hatujawahi hata onana ila hivi recently mabadiliko ni ubize uliokubuhu.!! Niliwahi ondoka lakini akagoma anasema ni majukumu nisiondoke.! Na akanilaumu sana why nakuwa sina uvumilivu while mwenzie hapo nimevumilia to the last drop.. Nilivyo mpuuzi nikarudi tena ila sahivi things have become more worse.!
Hapa I texted him since satano nimemuambia tu awe mkweli mbona nitaenda bila tatizo maana nishajiandaa kisaikolojia kuwa that love has already faded away.!!
Hajajibu mpaka sasa.!! Haha' nacheka kama mazuri.!!
Woooiii' tujiondokee zetu hebu.!! We're better than that.!!
Hahah af mkija humu mnajikaza kikomando wengine mkidai ni wake za watu 😀😀😀 jf raha sana!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unajua sikuwahi experience ile hali ya kuwa mtu ulimingle nae kama rebound ukaja gundua humpendi halafu yeye kashakolea kwako! I almost feel like shiyt wheneveri see her texts or missed dials!

Kusema tuachane siwezi yani tafrani...ni dodging to kwa kisingizio cha ubize!
Kwanza jamaa inaezekana kaoa kabisa an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom