Mpenzi aliye "busy" siku zote

Ananishangaza kwa kweli..huu ubusy una jambo kama hataki kufunguka basi nami naondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina jinsi..ntaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wengi wenu mnalo tatizo kubwa moja huwa hamuwezi kusimamia maamuzi mliyoamua. Ukiamua kumove on tekeleza kwa vitendo sio kujaribisha. Unaamua unampotezea mtu kama hivo anakutesa weee ikifika wakati wa kuachana nae unampotezea kweli kweli.

Hakuna kitu raha duniani kama kuwa na amani ya moyo na nafsi
 
Jibu ni Moja tu hapo.Anakuaandaa kisaikolojia next stop kibuti.no one is busy just a matter of prioritize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kuelewa, mwanaume unakuwaje busy wakati hujaenda Eden? Yaani kweli jamaa hajala tunda halafu anakuwa busy kiasi hicho?

Au hujamvutia? Yaani first glance na hakutamani hata kuishusha ile ya ndani kweli? Hakika huyo kijana ni mwema sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…