Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Yaan hamjawah onana lakini anakuwa busy hvo?jaman msijiweke desperaate sana..aku!
Yaaani.. mtu hata sura huijui unakuaje desperate hivyo???
Hao wanaume wao wangenipata mimi wangejua maana ya tit for tat... ndio maana simtafuti mwanaume kwanza mimi unless nataka kitu kwake. Ila kawaida tu bby utanitafuta wewe wa kwanza hasa kwenye good morning na good night ni kazi yako. Kuna muda mpaka najishtukia ila ndio nishakua konki wa hufanyi sifanyi na uanze kufanya ndio nifanye.
Sasa limtu hata sura siijui ndio nimshobokee?? Nehiiii. Bora nisalimie rafiki zangu wa kiume sio bby kichefuchefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 Mie ndo huwa naomba Mungu anibadilishe tu kwakwel...hela mtaan ngumu alafu nianze kumuwazia mpenzi..no way..!sema Mungu naye alinipa wakufanana na mm aisee...!ww nahis nakuzidi aisee...huu uzi ht asingeuandika. ni jumalizana naye huko huko..huna ht haja ya kumpiga block...uwiii...!nashukuru hayo maisha sikunbuk kuyapitia..!pole zao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mie ndo huwa naomba Mungu anibadilishe tu kwakwel...hela mtaan ngumu alafu nianze kumuwazia mpenzi..no way..!sema Mungu naye alinipa wakufanana na mm aisee...!ww nahis nakuzidi aisee...huu uzi ht asingeuandika. ni jumalizana naye huko huko..huna ht haja ya kumpiga block...uwiii...!nashukuru hayo maisha sikunbuk kuyapitia..!pole zao
Hahahhaaa.. nina roho ngumu. Kwanza sijali. Nikiona tu hiki sio ninachokitaka nakaa mita 100 na ndio maana siachwi naacha. Nikianza kukudoubt kwa hali yoyote ile ujue ndio ushanipoteza. Tena kwenye mawasiliano ndio kabisaaaa. Sana sana ukiniuliza nitakwambia sikua na cha kukuambia ndio maana nilikua kimya

😂😂😂😂😂..dah..tupo wengi..ila kiuhalisia sio nzuri..ila mm inanipa tu raha..sipat stress....eti nakutumia sms unajifanya ndo unaiona hehehehe..andika maumvu..khaa!mm ninapiga simu once..sirudii maana najia utaiona..kwakweli wabadilike..!yaan duh..!
 
Hujakamatika wewe...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utapiga simu usiku kuchaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..dah..tupo wengi..ila kiuhalisia sio nzuri..ila mm inanipa tu raha..sipat stress....eti nakutumia sms unajifanya ndo unaiona hehehehe..andika maumvu..khaa!mm ninapiga simu once..sirudii maana najia utaiona..kwakweli wabadilike..!yaan duh..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..dah..tupo wengi..ila kiuhalisia sio nzuri..ila mm inanipa tu raha..sipat stress....eti nakutumia sms unajifanya ndo unaiona hehehehe..andika maumvu..khaa!mm ninapiga simu once..sirudii maana najia utaiona..kwakweli wabadilike..!yaan duh..!
Mimi inanipa stress sometimes nakuaje mwanamke nisiejali lakini. Ndio maana sipati bf maana sivumilii upuuzi. Ukinizingua nakunyoosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I want something from him...that's why

Back
Top Bottom