Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mbona kuna waliofanikiwa humu humu na sahivi wanalea majumbani mwao!Waume humu..?????
Yaaani.. mtu hata sura huijui unakuaje desperate hivyo???Yaan hamjawah onana lakini anakuwa busy hvo?jaman msijiweke desperaate sana..aku!
Yaaani.. mtu hata sura huijui unakuaje desperate hivyo???
Hao wanaume wao wangenipata mimi wangejua maana ya tit for tat... ndio maana simtafuti mwanaume kwanza mimi unless nataka kitu kwake. Ila kawaida tu bby utanitafuta wewe wa kwanza hasa kwenye good morning na good night ni kazi yako. Kuna muda mpaka najishtukia ila ndio nishakua konki wa hufanyi sifanyi na uanze kufanya ndio nifanye.
Sasa limtu hata sura siijui ndio nimshobokee?? Nehiiii. Bora nisalimie rafiki zangu wa kiume sio bby kichefuchefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaaa.. nina roho ngumu. Kwanza sijali. Nikiona tu hiki sio ninachokitaka nakaa mita 100 na ndio maana siachwi naacha. Nikianza kukudoubt kwa hali yoyote ile ujue ndio ushanipoteza. Tena kwenye mawasiliano ndio kabisaaaa. Sana sana ukiniuliza nitakwambia sikua na cha kukuambia ndio maana nilikua kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mie ndo huwa naomba Mungu anibadilishe tu kwakwel...hela mtaan ngumu alafu nianze kumuwazia mpenzi..no way..!sema Mungu naye alinipa wakufanana na mm aisee...!ww nahis nakuzidi aisee...huu uzi ht asingeuandika. ni jumalizana naye huko huko..huna ht haja ya kumpiga block...uwiii...!nashukuru hayo maisha sikunbuk kuyapitia..!pole zao
Hahahhaaa.. nina roho ngumu. Kwanza sijali. Nikiona tu hiki sio ninachokitaka nakaa mita 100 na ndio maana siachwi naacha. Nikianza kukudoubt kwa hali yoyote ile ujue ndio ushanipoteza. Tena kwenye mawasiliano ndio kabisaaaa. Sana sana ukiniuliza nitakwambia sikua na cha kukuambia ndio maana nilikua kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila dalili umeonyeshwa lakini bado king'ang'anizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..dah..tupo wengi..ila kiuhalisia sio nzuri..ila mm inanipa tu raha..sipat stress....eti nakutumia sms unajifanya ndo unaiona hehehehe..andika maumvu..khaa!mm ninapiga simu once..sirudii maana najia utaiona..kwakweli wabadilike..!yaan duh..!
Hujakamatika wewe...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utapiga simu usiku kuchaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi inanipa stress sometimes nakuaje mwanamke nisiejali lakini. Ndio maana sipati bf maana sivumilii upuuzi. Ukinizingua nakunyoosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..dah..tupo wengi..ila kiuhalisia sio nzuri..ila mm inanipa tu raha..sipat stress....eti nakutumia sms unajifanya ndo unaiona hehehehe..andika maumvu..khaa!mm ninapiga simu once..sirudii maana najia utaiona..kwakweli wabadilike..!yaan duh..!
Yaaani.. mtu hata sura huijui unakuaje desperate hivyo???
Hao wanaume wao wangenipata mimi wangejua maana ya tit for tat... ndio maana simtafuti mwanaume kwanza mimi unless nataka kitu kwake. Ila kawaida tu bby utanitafuta wewe wa kwanza hasa kwenye good morning na good night ni kazi yako. Kuna muda mpaka najishtukia ila ndio nishakua konki wa hufanyi sifanyi na uanze kufanya ndio nifanye.
Sasa limtu hata sura siijui ndio nimshobokee?? Nehiiii. Bora nisalimie rafiki zangu wa kiume sio bby kichefuchefu
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Kumekucha mnaanza kumpa mwenzenu jeuri, kafa kaoza kwa kidumeMimi inanipa stress sometimes nakuaje mwanamke nisiejali lakini. Ndio maana sipati bf maana sivumilii upuuzi. Ukinizingua nakunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi inanipa stress sometimes nakuaje mwanamke nisiejali lakini. Ndio maana sipati bf maana sivumilii upuuzi. Ukinizingua nakunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcoz ni jambo jema japo wadada huwa wanaumia sana kipindi wanaachwa japo maumivu kwa wanaume ndo huchelewa sana kuishaaa...Nimekatamatika mbaya best...ila napenda aniheshimu hisia zangu nabadilikaga ndan ya sec