radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
nawe unabana sana kipochi manyoya hicho ndo maana jamaa anakupotezea, shauri zako utakufa na utamu wako
thanks to god the almighty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawe unabana sana kipochi manyoya hicho ndo maana jamaa anakupotezea, shauri zako utakufa na utamu wako
jamaa itakuwa kapigwa sana kalenda za kupewa kipochi manyoya na still hajapata, ndio maana nae kajiongeza kwa kujikeep busyNashindwa kuelewa, mwanaume unakuwaje busy wakati hujaenda Eden? Yaani kweli jamaa hajala tunda halafu anakuwa busy kiasi hicho?
Au hujamvutia? Yaani first glance na hakutamani hata kuishusha ile ya ndani kweli? Hakika huyo kijana ni mwema sana!!
mmekubaliana ndoa lini?Du!! Hii kitu inanitesa sana me mpaka nishatoa na posa na hata mahari tushapanga lakin, huyu dada sasa kila mda yeye hatak pokea sim wala kujibu sms, mpaka unapiga kwa mama ake ndio unaongea naye,
Na ukimuuliza asema yupo busy, na anadai skubizi hapendi tumia smu,,, chakufurahisha hataki nmtumie hata hela za matumizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakyamama naomba haya majibu yanipitie mbali...khaa!!utabadilisha wangapi au ushakuwa jamvi la wageni!
thanks to god the almighty
Hahahaa mahusiano yana visa sana.Du!! Hii kitu inanitesa sana me mpaka nishatoa na posa na hata mahari tushapanga lakin, huyu dada sasa kila mda yeye hatak pokea sim wala kujibu sms, mpaka unapiga kwa mama ake ndio unaongea naye,
Na ukimuuliza asema yupo busy, na anadai skubizi hapendi tumia smu,,, chakufurahisha hataki nmtumie hata hela za matumizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani
Hauna mpenzi hapo.Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?
Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.
Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?
Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.
Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.
Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?
Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Aisee, haya ni majungu First Class with Distinction!!!
Nimekutex kwa secret .... RespondHahahaa
Yani ukizaa na huyu sahau mwanao kumzoea babake.sijawahi ona huu ubize
Sent using Jamii Forums mobile app
S bora hata angekuwa mmoja yan we acha tu kama wanne alafu miaka ka minne unazongwa tu
Mwezi wa tisa mwanzon,, lakin mahar napeleka mwezi wa saba..... Na sijawahi lala nayemmekubaliana ndoa lini?
thanks to god the almighty
Yan me ata sijaelewa nn cha kufanya make wazaz naona wanaendelea na harakat za kuandaa mahar na pia kutufungisha ndoa,
Hahah nadhani blacklist ndio approach nzuri zaidi! Tatizo sina app nzuri kwa ajili ya hio shughuli. Nyingi zinaruhusu simu iingie kwanza halafu ndio zinakata.
Mpeleleze..kuna kitu kinaendeleaYan me ata sijaelewa nn cha kufanya make wazaz naona wanaendelea na harakat za kuandaa mahar na pia kutufungisha ndoa,
Na sijawah lala naye,, yan nmeona kisa chako ikabid npitie maon ya wadau,, tatizo ni kuwa nampenda kweli na nimwaka sasa toka nimpose na sijawahi mcheat wakati me npo chuon na yeye yupo village.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unasubiri nini kuchapa lapaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba unataka ubambikiziwe mimbaa ulee mtoto sio wako ausiooDu!! Hii kitu inanitesa sana me mpaka nishatoa na posa na hata mahari tushapanga lakin, huyu dada sasa kila mda yeye hatak pokea sim wala kujibu sms, mpaka unapiga kwa mama ake ndio unaongea naye,
Na ukimuuliza asema yupo busy, na anadai skubizi hapendi tumia smu,,, chakufurahisha hataki nmtumie hata hela za matumizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Anne..kwa kweli huyu nilishaamua kumuacha but anarudi kuomba msamaha...anasisitiza kabisa ni kazi tu.sasa mi nataka anionyeshe hizo kazi na hayo majukumu ambayo hayampi hata dakika kwangu..nikiona sio reasonable nabaki pk angu.Mimi nilishakua na mtu wa hivi..akijisikia yeye ananitafuta asipojisikia ndo Basi Tena..Nikawa nawaza hivi kweli mtu anakosa kabisa muda wa kunitafuta..Tena makusudi...kufatilia baadae kumbe kuna mambo yanaendelea
Sikutaka kupoteza muda wangu..nilipochanganya na makosa mengine basi niliamua kuondoka,nilimwambia hauji kupata mtu atakaye kupenda km nilivyofanya mimi...hakuamini maana alijua sitaweza kuondoka(weakness yangu Ni kupenda kupita kiasi)
Huyu Mungu alivyo mwema naendelea na maisha yangu miaka inazidi songa
Atakukumbuka baadaye...na muda utakuwa sio rafiki...
Usije thubutu kurudi kwake..mm Ni Bora nibaki single maisha yangu yote kuliko kurudi kwa yule shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
ASA we kwanini unamfanyia hivomhh pole mdada. hiyo situation napitia sasa ila kwangu mimi ndo ambaye simtafuti mwenzangu. huwa roho inanisuta mwenzio anakutafuta wewe humtafuti wala kumpa attention anayostahili 🙁.
mdau aliyesema hapo juu kwamba jamaa hakupendi yupo sahihi. nikushauri siku muandikie sms moja tu labda "habari mpenzi" halafu si hatakujibu basi ndo iwe kwaheri usimtafute tena.